KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,098
- 40,758
Ni laana kwa mwanamume kuongozwa na mwanamke.....
Ni moja ya dalili ya nyakati za mwisho....
Ni moja ya dalili ya nyakati za mwisho....
Kama walivyo wamasai hawahesabiki mjini.SISI KWETU(UMASAINI) HUYO SIO MTU KABISA HAESABIKI
wacha kujidanganya wewe..[emoji35] [emoji35]After kuwa Mwanamke ni heshima kubwa sana. Kule mbinguni tukienda title ya mwanaume unakufa, inabaki ya mwanamuke ndo maana biblia inasema hakuna kuoa wala kuolewa, wote ni mabibi harusi wa mwanakondoo wa Mungu. Kwa hiyo hiki kititle cha eti ooh mie mwanaume, kiko very temporary. Wanawake oooeyeee
we ni hatari!!!!!Wanatuburudisha sana waacheni wanawake nao wawe na madaraka, mimi hata wakati wa mechi Mwanamke akitaka awe juu sina tatizo, natuma makombora huko huko juu
Ata mwalimu frank msigwa wa mbeya day aliponzwa na mwanamke kuchukua videoJibu raisi hilo mkuu,
SHETANI ..
Shetani huwatumia wanawake kufanikisha mambo yake kwa wana wa Mungu,
1. Hawa alimdanganya Adamu
2. Delira akamcorn Samson
Mifano ni mingi sana tena kwenye maandiko matakatifu.
Kabisa mkuuShetani ndio kawaingiza kwa gia ya usawa na haki sawa