Th los proffcnal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 583
- 348
Wanawake wanamapungufu mengi sana na hawawezi kusimama wenyewe bila wanaume,japo ni kweli wapo wengine pia wanauwezo kuliko wanaume.
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.
Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.
Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.
Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?
Ah ah ah ah ahWanatuburudisha sana waacheni wanawake nao wawe na madaraka, mimi hata wakati wa mechi Mwanamke akitaka awe juu sina tatizo, natuma makombora huko huko juu
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.
Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.
Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.
Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?
Hahahaha haya mkuuu!!!Wanatuburudisha sana waacheni wanawake nao wawe na madaraka, mimi hata wakati wa mechi Mwanamke akitaka awe juu sina tatizo, natuma makombora huko huko juu
Duh kwa sehemu nitakuunga mkono pale wanawake wanaposahau kutii ukichwa wa mwanaume na kusahau mwanamke yuko chini na ni msaidizi wa mume wake...ila kumbuka Yesu hakuwa na ubaguzi na ndio maana hata yule mwanamke aliyekuwa akitiririkwa na damu aliposhika vazi la Yesu akapona hukukemewa kwa tendo hilo...wakati mwanamke anapokuwa ktk hali hiyo alionekana mchafu...na hata kama mwanamke akisimama mbele ya wanaume anahubiri alipaswa kufunga kitambaa kichwani kama heshima kwa mwanaume...
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.
Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.
Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.
Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?
ukijua utazaa litoto kama wewe natoa mimba mapemaaa shenziiiiiiiiiiiiiii kabisa
Ndio laana zenyewe siku hizi Hakuna heshima kabisa mbele za wanaume wote unadiliki kuongea utumbo! Walewale akina Delilahukijua utazaa litoto kama wewe natoa mimba mapemaaa shenziiiiiiiiiiiiiii kabisa
sasa wewe ndo umemsifia au umemtukana.... teh!Duuuu we jamaa umewaza sana mbali aisee kama greti thinka kweli hv......dah unajua nakuelewa sana wewe boya, sema basi tu! Enewei nyambaf zako wewe! Kuna wapuuz watakupuuza!
Azana za Wanawake misikitini sijawahi sikia, ni vema ungesema ni wapi ulisikia?
Ila katika maandiko hasa Agano la kale mwanamke hapaswi kabisa kukaa madhabauni kwa kuwa ni najisi.
Haya mambo yameaanzia Beijing.
mkuu hata mkiwa uwanja wa 6/6?? teh tehNi aibu Mwanamke kuwa juu ya mwanamume
Hasa waanaume wa Dar ndiyo hopeless kabisa! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Cc; wanaume wooote njoooni huku kuna dhambi inachambuliwa nani kawaingiza wanawake kwenye himaya na mamlaka za wanaume? Wanaume tumenza kuwa wadhaifu Siku hizi???
Mhmhmh uuug ug 6 x 6 Rukusamkuu hata mkiwa uwanja wa 6/6?? teh teh
teh tehMhmhmh uuug ug 6 x 6 Rukusa