Nani aliua UDA? Kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani aliua UDA? Kwa nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Jun 20, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,894
  Trophy Points: 280
  nashangaa sana,tulishindwa hata kusimamia na kuindeleza UDA?
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Unashangaa UDA hushangai mashirika mengine yote ya Umma yalivyokufa? Yote imesababishwa na neno "mali ya umma". Sasa jiulize kama ni "mali ya umma" wewe huna chako? Na kama unacho kwanini usichukuwe? Maana mali yako huibi. Sasa jiulize ni nani alioanzisha mali za umma? Huyo ndie aliyeuwa kila kitu. Kabla ya UDA kulikuwa na DMT inaenda vizuri tu na mpaka mabasi ya ghorofa (kama ya London) tuliokuwepo enzi za DMT tuliyapanda. Uliza DMT ilikuwaje ikawa UDA?
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wee mama
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,894
  Trophy Points: 280
  ilikuweje?
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Wee Mukenya, unanini nawee?
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Ilitaifishwa ikawa mali ya umma!
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu zama zile, Dar tulikuwa tunajinoma na UDA, tule tu IKARUS na wale ukaguzi wa mabasi, yaani bongo ingekuwa mbali, leo hii. Labda tungekuwa nusu ya MTA. LOLZ
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa msingi huu, hii DART tunayojivunia kuwa mkombozi itadumu kweli?
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  UDA haijafa.....! bado lipo
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]CRDB Bank donates school buses [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="class: artinfo_block, width: 100%"]
  [TR]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]

  CRDB Bank donated 5 school buses to the Government through its transportation agency Usafiri Dar es Salaam (UDA) to help curb the ever growing student transport problem in Dar es Salaam. These students only buses, will carry students from all basic corners of the city to the city centre. For sustainability and a need for this project to grow, students will be required to pay a minimal fare.
  The event was graced by the Prime Minister of Tanzania, Hon Mizengo Pinda (MP) who was accompanied by the Minister for Education and Vocational Training, Prof. Jumanne Maghembe, Dar es Salaam Regional Commissioner, Hon. William Lukuvi, UDA Board Chairman Mr. Idd Simba and City Mayor Adam Kimbisa.

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  However, the CAG also cited the public bus transport company, Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), as another parastatal that should not be privatised.

  "On the other hand, transport is another headache, especially to school children. Had the government enabled UDA to effectively operate to at least half the capacity of private bus operators, this problem to ordinary citizens would have been eased," he said.

  ATCL, TANESCO and UDA are among state-run companies currently specified for restructuring and/or privatisation.
  SOURCE: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/131082-cag-opposes-sale-of-atcl-tanesco.html
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,894
  Trophy Points: 280
  wapi na mangapi? yanasaidia watu wangapi?
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  yeah ni kweli mkuu hilo ndilo tatizo linalotufanya mpaka leo tuzidi kulalamika kuwa serikali haina mapato ya kutosha

  kulikuwa hakuna haja ya kuuwa UDA na kuuza mabasi yake eti ili viongozi waweze kuanzisha mabasi yao hapo dsm, nikichukuwa mfano wa china ambao ndio tulipest na kucopy hii system ya kuwa na mali ya umma, wao mpaka leo bado mabasi hayo yapo na bado yanamilikiwa na umma na madereva wake ni polisi,,

  sisi tulivunja uda ili viongozi waweze kufanya biashara za daladala kiuraisi na walio wengi walijiuzia mabasi hayo na mpaka sasa mabasi yaliyo mengi hapo dsm yanamilikiwa na hao viongozi
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,894
  Trophy Points: 280
  hii ndio UDA? wauza sura wa crdb hao
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Kama haijaingia ubia na private companies za uhakika, haina maisha.
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wakati ule UDA walifikia kuwa na Bendi ya Muziki. BAYANKATA NGOMA YA UKAE.
   
 17. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  this is stupidity you are doing.
   
 18. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kilichoua UDA ni kilekile kilichoua Urafiki, Mwatex, Kiltex, Napoco, na Kamata; kwa ufupi ni IMF Structural Adjustment Programs. Ndio dozi ileile inayotolewa leo kwa Greece na Portugal; Binafsisha na kuuza sector zote muhimu za Uchumi. Ukikataa, hakuna mkopo kutoka WB au IMF.
  Policy Framework Paper -- Tanzania: Enhanced Structural Adjustment Facility Policy Framework Paper, 1998/99-2000/1 - Table of Contents

  Watanzania walikubali bila kipangamizi (kama kondoo) matokeo ya hizi programs, lakini ona huko Greece wanavyoandamana na kupigana na serikali kutokana na austerity measures za hizi programs.

  [​IMG]
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,894
  Trophy Points: 280
  hes nt stpuid. najua kilichotokea
  ...futa hilo bandiko ulilo li-qoute hapo
   
Loading...