King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,827
- 94,987
Chande kulinda heshima yake angekataa kuingia kwenye hiyo TUME ,kwa miaka aliyofanya kazi ,kiiunua mgongo ,pension ya kila mwezi ,bosta kutoka kwa watoto zingemtosha kusurvive kuliko kuuza UTU kwa Vipande vya fedha vya Mama MADURO.Bakht mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei
Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
Alifariki?Mtoto wa dada yangu alikuwa dereva wa bodaboda yake niliyomnunulia ikawa inampatia riziki yake ya kila siku.
Alipigwa risasi mgongoni akiwa anarudi kituoni baada ya kumteremsha mteja wake. Bodaboda ile mpaka leo imekaa bure tu, hakuna anayetaka kuigusa!
Nani aliamrisha askari 16 kuuliwa?. Mnavyolalamika utadhani hao polisi waliuwawa sio watoto wenye wazazi!.Bahati mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei
Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
Ukisamehe, auto hutataka kujua ni nani aliamrisha shoot to kill! Moja kwa moja utasahau na kuganga yajayo.Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
Rafiki, hayo ya askari kuuliwa kama ni jinai, wafungue upelelezi na washtakiwa wafikishwe mahakamani. The same ya tunachokitaka kwa wananchi waliopoteza maisha yao, tunataka waliofayatua hizo risasi na waliotoa command wachukuliwe hatua na tuwaone mahakamani. Tunajua wa-Tanzania, accountability sio sehemu ya maisha yenu ila dont spin it kama watu ambao hamna akili timamu.Tufunge ukurasa tuanze kuongea masuala ya amani, kumbuka kuna askari 16 waliuwawa, wanao wazazi na jamaa zao walioomboleza kwa uchungu pia.
Tufunge ukurasa tuanze kuongea masuala ya amani, kumbuka kuna askari 16 waliuwawa, wanao wazazi na jamaa zao walioomboleza kwa uchungu pia.
Nadhani umemsikiliza jaji mstaafu Chande kwa kirefu akiongelea yale yaliyoandikwa kwenye report.Hahaha, sometimes inabidi mtu ucheke tu, hivi mfano hapo nyumbani kwako imetokea kuna kiumbe kimeingia ndani kikajeruhi unaweza ita mkeo na watoto ukawaambia laleni tu kwa amani na hawajui chochote kuhusu hicho kiumbe?
Unless unataka wahanga wawe watulivu sio wawe na amani, sababu kwenye uhalisia wa mwanadamu, mauaji makubwa yanapotokea maswali kama kwanini, nani kafanya, tufanyaje isirudie lazima yaulizwe na lazima yajibiwe ili pawe na amani, kinyume na hapo patakuwa na utulivu na sio amani.
Vibaka walitaka kutumia machafuko kama mtaji wa kujitafutia riziki kwenye maduka yanayovunjwa huko mitaani.Watu wanaleta siasa ila hali ilivyokuwa kwa siku zile ilikuwa mbaya wakuu.
Madogo walikuwa wanajikisanya halafu wanakwenda kufanya fujo.
Utawakuta wanajiandaa kabisa kununua vitu kama maji soda, na vingine,
Fedha wanatoa wapi? Il hali unawaona kabisa ajira hawana.
Mimi sitetei uuaji ila naelezea hali halisi tu.
Hawa vijana ni matokeo ya malezi dhaifu.Vibaka walitaka kutumia machafuko kama mtaji wa kujitafutia riziki kwenye maduka yanayovunjwa huko mitaani.
Siungi mkono ushenzi ule lakini ujumbe fulani vijana wameweza kuufikisha kwa tabaka la sisi vijana wa zamani tuliokuzwa katika maisha ya ki-CCM.
Hivi mtu anayeweza kufyatua risasi kwa mtoto kwa kisingizio cha kudhibiti unaona ni mtu anayeweza samehewa tu bila kuwajibishwa na watu wakasahau?Nadhani umemsikiliza jaji mstaafu Chande kwa kirefu akiongelea yale yaliyoandikwa kwenye report.
Kuna sehemu ndani ya kurasa wameongelea kusameheana, yaliyotokea hayakuwa madogo hata kidogo.
Mungu atupitishe mbali na dhahama lile la mwaka jana.
Wewe ni mpumbavu...Hawa vijana ni matokeo ya malezi dhaifu.
Wazazi wakiri wamekosea kuwalea hawa vijana.
Sisi tulikuzwa kujitegemea, tumekuwa tukijuwa haya maisha mafanikio unayapata kwa kufanya kazi hakuna short cut.
Hawa wa sasa wamezoea kupewa kila kitu wakikutana na Dunia wanafikiri itawapa kila kitu bure. Kumbe ni tofauti.
Lazima tu utalazimika kujituma. Serikali sio baba na mama yetu.
Serikali ipo tu kutuwekea mazingira tupambane. Ila wajibu wa kila mtu bado upo pale pale.
Bahati mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei
Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
Hakuna raia mwema asiyetaka fujo zisidhibitiwe, swali ni ilihitajika watu 500+ kuuwawa ili kudhibiti fujo?Watu wanaleta siasa ila hali ilivyokuwa kwa siku zile ilikuwa mbaya wakuu.