Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

Nahisi kula mara tatu kulianzia ulaya wakati was industrialization era. Ilikaa kibiashara zaidi kuliko kiafya mtu unaweza survive Kwa mlo mmoja kamili kwa siku bila matatizo yoyote unless kama unafanya kazi ngumu sio mbaya ukiongeza. Na katika Milo isiokua ya muhimu kabisa ni Asubuhi Kwa maoni yangu lakini

Huna unachojua, ila ni bora umesema ni maoni yako…. msosi usio muhimu ni wa usiku.
 
Tumsagie kunguni pia aligundua mchanganyiko wa nyanya na vitunguu na pilipili ikawa mboga
 
Nafikili ni asili ya miili yetu hutulazimisha.
wastani kila baada ya masaa 5-7 husikia njaa.
so, piga hesabu umekunywa chai saa 2-3 asubuhi. ikifika saa 7-8 mchana hapo utasikia njaa utakula. ikifika saa 1-3 usiku utasikia njaa tena.
 
Tangu Utoto mpaka sasa ni Mtu mzima Kutwa mara Tatu Hii ilianzia wapi,Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa Siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri Chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni Kututia Umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama Hivi.
Nani alisema uamke saa 12 asubuhi uwahi shamba?
 
kuna sehem flan hiv wanasifa sana chapati kubwa kama ungo moja tu kumaliza mtihani tena necta4m4 [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni matumizi mabaya ya chakula.
Jana nimepiga ugali wa buku mpaka Sasa hivi navuta uradi mpaka usiku ndo nakula tena
 
Huna unachojua, ila ni bora umesema ni maoni yako…. msosi usio muhimu ni wa usiku.
Mwanzo mwa 1900's makampuni ya cereal yalifund wanasayansi waseme "Breakfast is the most important meal" Ili wafanye biashara na kweli walifanikiwa sababu watu hawakua wanakula breakfast. Kwahiyo hicho ulichokisema wewe ni matokeo ya wanasayansi waliokua lobbied na cereal companies..
 
milo mitatu inategemea unakula nini
kitimoto nusu na robo ukipiga asubuhi, wewe utakua unakula mara moja kwa siku tu
kutwa nzima mchawi kiu
 
Ni umasikin tu,lakin kama uko vizur unatakiwa ule mara mbili yaan asubuhi na usiku

Na muda wote ule vyakula laini unapopata nafasi kama mahindi,uji,kahawa,nyama choma,maziwa
 
Back
Top Bottom