Nina wasiwasi na ile inayoitwa Familia ya watu wazuri hawafi kina ZZK, Nape, Januari ndio haikutaka maridhiriano na Chadema hongera SSH kwa kufichua hiyo siri
Mtawasingizia Sukuma Gang mlishaambiwa haipo ni uhuni ulitengeneza na Familia ya Wazuri Hawafi ili kumzubaisha Mama na kumfix mambo mengi lakini Finaly Mama ameshuktuka amechana mkekaItakuwa lile kundi la hovyo Sukuma Gang wanywa damu za watu ili kulinda legacy ya kipumbavu!!
Mama kabomolea mbali ujinga wao!!
CCM inaomgozwa na kitengo fulani hivi kutoka Kijitonyama , hawa wengine ni watoa taarifa za chama tuRAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Mafisadi wasiotaka kulipa Kodi za serikaliRAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Rais Samia kaamua kuiponya Nchi. Atakaye mgusa atalaaniwa.Hii kauli Rais ameitoa ikaniachia maswali, kwa huu uwazi wake ategemee kupata upinzani ndani ya chama chake, huku kutoa siri za ndani anakofanya, kutamfanya aonekane ana dharau ushauri anaopewa na wasaidizi wake wanasahau kumbe nae ana maamuzi yake kama kiongozi wao.
Anajua walishampoteza kwenye kumbambikia kesi Mbowe, sasa hawezi tena kurudia makosa, anaonekana ameongeza umakini wa kila analoshauriwa na watu wake wa karibu.
Ameshagundua wakati mwingine huwa hawana nia ya dhati ya kumsaidia, wanachofanya ni kumsukumia mizigo aonekane hafai mbele ya watanzania, ili wakati utakapofika, wapate sababu ya kumkataa kumpa ridhaa ya kugombea tena, waseme hatoshi.
Walimharibia sana Rais Samia. Wakati ule walimfanyie timing kabla hajazoea Ikulu.Anajua walishampoteza kwenye kumbambikia kesi Mbowe, sasa hawezi tena kurudia makosa, anaonekana ameongeza umakini wa kila analoshauriwa na watu wake wa karibu, wakati mwingine huwa hawana nia ya dhati ya kumsaidia, wanachofanya ni kumsukumia mizigo aonekane hafai mbele ya watanzania, ili wakati utakapofika, wapate sababu ya kumkataa kumpa ridhaa ya kugombea tena, waseme hatoshi.
RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Lazima tumtafute tuungane kama Taifa tumlaani, maana tunaamini huyo ndiye amemshauri mambo mengi Rais wetu ya kumpotosha hadi anahangaika kujinasua yeye mwenyeweHata Mimi najiuliza ni Nani huyo.
Hao mtawasingizia tu si walitupwa nje ya ulingo mapema sana mwaka ule ule wa kwanzaLitakua kundi la walinda legacy. Sampu za akina Etwege
Nadhani issue ya Mbowe, ilimpa fundisho kubwa Sana.......Walimharibia sana Rais Samia. Wakati ule walimfanyie timing kabla hajazoea Ikulu.
sioRAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
SIO mwingine huyo atakua Mr MADERURAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
ChawaRAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
Mkanda woote Kinana alimsimulia🤣🤣Nadhani issue ya Mbowe, ilimpa fundisho kubwa Sana.......
Akikumbuka namna walivyomlia timing na kumuingiza King, kuwa Mbowe ni gaidi, basi ameamua kuwazingua hao wasaidizi wake😄