Nani alijenga Mapyramid ya Misiri ya kale?

Siwezi amini kabisa kuwa hekari tatu ni sawa na Viwanja vitatu vya Mpira. Sijajua mpira upi, ? Lakini kama ni mpira wa Miguu, viwanja kumi ni eneo kubwa kuliko Hekari tatu. Labda Hekta.
 
Egyptians built the Pyramids, ni makaburi ya mafirauni
 
Walijenga Waisraeli walipokuwa Utumwani Misri.
 
Walijenga Wayahudi walipokuwa utumwani misri.
 
wamisri wa kale walikuwa ni weusi tii wanafanana na wasudini wa kusini ndio hao waliojenga izo pyramids pamja na sanamu zote ambazo mpaka leo zipo ukifatilia kwa umakini utagundua sanamu nyingi upande wa uso zimebomolewa sehemu ya pua kuficha ukweli kwamba muafrika apo kale alikuwa mbali kiteknolojia mpaka kisayansi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mapyramid (majumba) yalijengwa kwa njia ya ufunuo (wahyi) kutoka kwa Mwenyezimungu mwenyewe wakati wa kipindi cha Musa na nduguye Haroun. Na yamejengwa kwa hesabu kali mno ili kiwezesha kufanyika kwa ibada kwa uelekeo wa qibla kwa wakati huo (Masjid Al Aqsa) kabla qibla hakijahamishwa kuelekea Macca. Ushahidi wa hayo ni Qur'an 10:87. Jambo linapofanyika kwa njia ya ufunuo lolote huwezekana.

Povu ruksa na hutaki unaacha.
 
Imani ni shambulio la akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…