Nani alijenga hii kitu kule Jos Nigeria?

Nani alijenga hii kitu kule Jos Nigeria?

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,432
Reaction score
7,965
Ni technology gani iliyotumika kunyanyua hayo mawe?
FB_IMG_1614104791750.jpg
 
Ni technology gani iliyotumika kunyanyua hayo mawe?View attachment 1710265
Kwenye makala moja inayohusu mapiramidi yale makubwa makubwa ya kule Giza, Misri yaani "The Great pyramids at Giza", kuna sehemu narrator wa stori hadi amelazimika kuuliza swali hili "who did this and why?", maana mambo ya ajabu yaliyofanyika huko yanaonekana si binadamu wa aina yetu aliyeyafanya. Hili jamb lililofanyika hapa linanikumbusha stori hiyo ya mapiramidi
 
Kumbuka kuwa ......the ancient bina damu walikua ni Giantism
 
Kisosi cha ujenzi wa miundombinu cha gamboshi ndio wajenzi halisi
 
Back
Top Bottom