Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,803
- 7,559
Haya hapa je?I believe its natural according to weathering! Mbona hujiulizi pale ziwa Viktoria ile Bismarck rock kajenga nani?
Haya hapa je?I believe its natural according to weathering! Mbona hujiulizi pale ziwa Viktoria ile Bismarck rock kajenga nani?
Kwahiyo unataka nikujibu vipi, nimejibu kulingana na habari ya Jos Nigeria, hiyo uliyoweka tafuta mjenzi wake!Haya hapa je?
angalia hilo eneo sio too dry....kuna ushahidi kuwa upo uwepo wa mvua sasa anyway zote zaweza kuwa sababu kwani nature hutumia vyote.ungesema wind actio ningeelewa kwa water hapana mkuu
Kwani yaliwahi kumdondokea nani?Hao mabwege ngoja yawadondokee ndiyo watajua hawajui
Unawaombea jamanHao mabwege ngoja yawadondokee ndiyo watajua hawajui
Hiyo ni Moja Kati ya wind erosion features. Hatuna features Kama hizo kwenye maji. Hatuna features za aina hiyo whether erosion or deposition kwenye maji Mkuu.angalia hilo eneo sio too dry....kuna ushahidi kuwa upo uwepo wa mvua sasa anyway zote zaweza kuwa sababu kwani nature hutumia vyote.