Nani aliidhinisha Ujenzi wa Stendi Mpya ya Nyegezi? Viongozi Hawaoni tatizo?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,515
Hii stendi naona watu wanasifia, na kuna wakati Waziri Mkuu alie da kukagua maendeleo ya Ujenzi, Ila tulinyimwa akili au zipo ila Uchwa umetuzidi.

Swali ni Je Hakuna Idara ya Intelijensia ya kuweza kugundua kwamba pale ni uhuni na pesa zimepotea bure na itahitajikantena kuja kujengwa stendi mpya?

Ile Stendi imejengwa katikati ya makazi na ile eneo liko very congestion, ni mara 200 ile stendi ya Nyamhongolo sijui kama nimepatia speling.Il stendi ilipaswa kutafutiwa eneo kubwa sana ambalo lingekuja kuzidiwa baada ya miaka hata 50 na sio hii ya miaka 4

Stendi ya Nyegezi naipa miaka 3 kutoka sasa wataanza kutafuta eneo jingine kwa ajili ya ujenzi wa stendi Mpya, Pale hamna maisha, ni pesa zisha pigwa za ujenzi na wakati wanatafuta eneo jipya wahusika wa sasa watakuwa my be walisha hamishiwa maeneo mengine kuendeleza upigaji.

Cha kustajabisha viongozi hawaoni kabisa kwamba eneo lile ni dogo sana na licha ya udogo ni eneo limejaaa, na lina Jam za kutosha na baada ya miaka minne halitafaaa kabisa itabidi litafutwe eneo jipya.

Hii nchi ni kawaida kufanya mambo kwa projection za miaka 4 tu mbele baada ya hapo tuna vunja au tunabomoa na kujenga tena.

Walio jenga au kuruhusu Ujenzi wa stendi ya Ubungo walipaswa kuwa jela kwa sasa kwa kulisababishia Taifa hasara ya kujenga stendi baada ya Muda inavunjwa inaenda kujengwa kwingine.

Wakati wenzetu Project zao huwa zinaangalia miaka 100 ijayo za kwetu ni miaka 4 ijayo. Na hii iko hadi kwemye Majengo ya Serikali.

Angali Majengo ya shule zinazo jengwa sasa na linganisha na zilizo jengwa na Kanisa au Wakoloni na baadae Nyerere akawanyang'anya kanisa. Shule kama Karatu Secondary wale watu wali project miaka 100 mbele hadi 200.

Angalia sasa shule zetu za kata projectiin ni miaka 3 hadi 4 mbele.
 
Stendi zote zilizojengwa porini kama Stendi ya Igumbilo (Iringa), Stendi ya Njombe, Songea na kwengine raia hawazitaki kisa zipo porini.
Na hii ya Mwanza iliyojengwa mjini Mnaponda.

Watanzania MNATAKA NINI?

#YNWA
 
Hata ya Mbezi Dar ni porini. pale pale Ubungo pangefaa hasa baada ya lile daraja kukamilika. Mwendokasi wangeichanganya na hii ya daladala kule nyuma mawasiliano.
 
KAMA WATU WAMEPIGA PESA NA CAG KAWATAJA NA HAKUNA HATUA ZILIZOCHUKULIWA ITAKUWA HIYO STENDI? HII NI TANZANIA
 
Nyegezi palikua porini(kijijini) wakati stendi imehamishiwa hapo na raia walilalamika sana kwa mabadiliko hayo miaka ya 2007 hivi. Ukilalamika kuwa na data za kutosha maana hata huko nyamhongolo soon patajaa kama palivyo nyegezi stand
 
Nyegezi palikua polini(kijijini) wakati stendi imehamishiwa hapo na raia walilalamika sana kwa mabadiliko hayo miaka ya 2007 hivi. Ukilalamika kuwa na data za kutosha maana hata huko nyamhongolo soon patajaa kama palivyo nyegezi stand
Unaakili sana wewe mtu, mimi nipo Mwanza kitambo sana tulilalamika stend kutolewa pale Tanganyika City Center kupelekwa Nyegezi.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Hii stendi naona watu wanasifia, na kuna wakati Waziri Mkuu alie da kukagua maendeleo ya Ujenzi, Ila tulinyimwa akili au zipo ila Uchwa umetuzidi.

Swali ni Je Hakuna Idara ya Intelijensia ya kuweza kugundua kwamba pale ni uhuni na pesa zimepotea bure na itahitajikantena kuja kujengwa stendi mpya?

Ile Stendi imejengwa katikati ya makazi na ile eneo liko very congestion, ni mara 200 ile stendi ya Nyamhongolo sijui kama nimepatia speling.Il stendi ilipaswa kutafutiwa eneo kubwa sana ambalo lingekuja kuzidiwa baada ya miaka hata 50 na sio hii ya miaka 4

Stendi ya Nyegezi naipa miaka 3 kutoka sasa wataanza kutafuta eneo jingine kwa ajili ya ujenzi wa stendi Mpya, Pale hamna maisha, ni pesa zisha pigwa za ujenzi na wakati wanatafuta eneo jipya wahusika wa sasa watakuwa my be walisha hamishiwa maeneo mengine kuendeleza upigaji.

Cha kustajabisha viongozi hawaoni kabisa kwamba eneo lile ni dogo sana na licha ya udogo ni eneo limejaaa, na lina Jam za kutosha na baada ya miaka minne halitafaaa kabisa itabidi litafutwe eneo jipya.

Hii nchi ni kawaida kufanya mambo kwa projection za miaka 4 tu mbele baada ya hapo tuna vunja au tunabomoa na kujenga tena.

Walio jenga au kuruhusu Ujenzi wa stendi ya Ubungo walipaswa kuwa jela kwa sasa kwa kulisababishia Taifa hasara ya kujenga stendi baada ya Muda inavunjwa inaenda kujengwa kwingine.

Wakati wenzetu Project zao huwa zinaangalia miaka 100 ijayo za kwetu ni miaka 4 ijayo. Na hii iko hadi kwemye Majengo ya Serikali.

Angali Majengo ya shule zinazo jengwa sasa na linganisha na zilizo jengwa na Kanisa au Wakoloni na baadae Nyerere akawanyang'anya kanisa. Shule kama Karatu Secondary wale watu wali project miaka 100 mbele hadi 200.

Angalia sasa shule zetu za kata projectiin ni miaka 3 hadi 4 mbele.
Stendi inatakiwa kwenda na Masterplan ya mji. Inajengwa kutatua tatizo la miaka 20 ijayo na sio ya leo tu.

Amandla...
 
Umeongea ukweil kabisa voongozi wetu ni mapoyyoy kichwani amna kitu ,huu mjadala ulishaakuwa huku mda kipindi cha jpm tatizo ni rushwa watu wanataka waendelea kuwa hapo ili wapate pesa za hoteli na mji hautapanuka
 
Hata ya Mbezi Dar ni porini. pale pale Ubungo pangefaa hasa baada ya lile daraja kukamilika. Mwendokasi wangeichanganya na hii ya daladala kule nyuma mawasiliano.
Kwa dar mkuu mbezi ni the best, pale ubungo palikuwa panaleta jam tu. Japo miaka ileeee ilivyoondolewa kisutu pia binafsi nlipaona ubingo ni porini sana and kweli ilikuwa porini mno enzi hizo.
 
Hii stendi naona watu wanasifia, na kuna wakati Waziri Mkuu alie da kukagua maendeleo ya Ujenzi, Ila tulinyimwa akili au zipo ila Uchwa umetuzidi.

Swali ni Je Hakuna Idara ya Intelijensia ya kuweza kugundua kwamba pale ni uhuni na pesa zimepotea bure na itahitajikantena kuja kujengwa stendi mpya?

Ile Stendi imejengwa katikati ya makazi na ile eneo liko very congestion, ni mara 200 ile stendi ya Nyamhongolo sijui kama nimepatia speling.Il stendi ilipaswa kutafutiwa eneo kubwa sana ambalo lingekuja kuzidiwa baada ya miaka hata 50 na sio hii ya miaka 4

Stendi ya Nyegezi naipa miaka 3 kutoka sasa wataanza kutafuta eneo jingine kwa ajili ya ujenzi wa stendi Mpya, Pale hamna maisha, ni pesa zisha pigwa za ujenzi na wakati wanatafuta eneo jipya wahusika wa sasa watakuwa my be walisha hamishiwa maeneo mengine kuendeleza upigaji.

Cha kustajabisha viongozi hawaoni kabisa kwamba eneo lile ni dogo sana na licha ya udogo ni eneo limejaaa, na lina Jam za kutosha na baada ya miaka minne halitafaaa kabisa itabidi litafutwe eneo jipya.

Hii nchi ni kawaida kufanya mambo kwa projection za miaka 4 tu mbele baada ya hapo tuna vunja au tunabomoa na kujenga tena.

Walio jenga au kuruhusu Ujenzi wa stendi ya Ubungo walipaswa kuwa jela kwa sasa kwa kulisababishia Taifa hasara ya kujenga stendi baada ya Muda inavunjwa inaenda kujengwa kwingine.

Wakati wenzetu Project zao huwa zinaangalia miaka 100 ijayo za kwetu ni miaka 4 ijayo. Na hii iko hadi kwemye Majengo ya Serikali.

Angali Majengo ya shule zinazo jengwa sasa na linganisha na zilizo jengwa na Kanisa au Wakoloni na baadae Nyerere akawanyang'anya kanisa. Shule kama Karatu Secondary wale watu wali project miaka 100 mbele hadi 200.

Angalia sasa shule zetu za kata projectiin ni miaka 3 hadi 4 mbele.
Miradi Bubu Ya WAZALENDO wa awamu yatano
 
Stendi zote zilizojengwa porini kama Stendi ya Igumbilo (Iringa), Stendi ya Njombe, Songea na kwengine raia hawazitaki kisa zipo porini.
Na hii ya Mwanza iliyojengwa mjini Mnaponda.

Watanzania MNATAKA NINI?

#YNWA
Zingeendelea kutumika wangezoea tu . Hat kutoka kisutu/ mnazimmoja kwenda ubungo watu walilalamika sana lakini walikuja kuzoea ikawa pouwa tu
 
Hapo hapo, watani zangu wasukuma jinomeni na stendi mpya, msikubali mtu mmoja awatoe kwenye reli. Anataka stendi ikajengwe mbali na mji maporini ili abiria wawe wanaporwa na panya road wakishuka toka kwenye mabasi.
Kama ni issue ya eneo kuwa congested baada ya muda, hiyo ni kitu cha kawaida kwa miji inayokua na kustawi kwa haraka. Dar tulikuwa tulianzia Kisutu, tukahamia Ubungo, sasa tuko Mbezi; hiyo ni kawaida. Hapo pakibanana stendi itajengwa kwingine, kulingana na uhalisia wa wakati huo, hapo patageuzwa kuwa mall. Yote mema tu.
 
Hii stendi naona watu wanasifia, na kuna wakati Waziri Mkuu alie da kukagua maendeleo ya Ujenzi, Ila tulinyimwa akili au zipo ila Uchwa umetuzidi.

Swali ni Je Hakuna Idara ya Intelijensia ya kuweza kugundua kwamba pale ni uhuni na pesa zimepotea bure na itahitajikantena kuja kujengwa stendi mpya?

Ile Stendi imejengwa katikati ya makazi na ile eneo liko very congestion, ni mara 200 ile stendi ya Nyamhongolo sijui kama nimepatia speling.Il stendi ilipaswa kutafutiwa eneo kubwa sana ambalo lingekuja kuzidiwa baada ya miaka hata 50 na sio hii ya miaka 4

Stendi ya Nyegezi naipa miaka 3 kutoka sasa wataanza kutafuta eneo jingine kwa ajili ya ujenzi wa stendi Mpya, Pale hamna maisha, ni pesa zisha pigwa za ujenzi na wakati wanatafuta eneo jipya wahusika wa sasa watakuwa my be walisha hamishiwa maeneo mengine kuendeleza upigaji.

Cha kustajabisha viongozi hawaoni kabisa kwamba eneo lile ni dogo sana na licha ya udogo ni eneo limejaaa, na lina Jam za kutosha na baada ya miaka minne halitafaaa kabisa itabidi litafutwe eneo jipya.

Hii nchi ni kawaida kufanya mambo kwa projection za miaka 4 tu mbele baada ya hapo tuna vunja au tunabomoa na kujenga tena.

Walio jenga au kuruhusu Ujenzi wa stendi ya Ubungo walipaswa kuwa jela kwa sasa kwa kulisababishia Taifa hasara ya kujenga stendi baada ya Muda inavunjwa inaenda kujengwa kwingine.

Wakati wenzetu Project zao huwa zinaangalia miaka 100 ijayo za kwetu ni miaka 4 ijayo. Na hii iko hadi kwemye Majengo ya Serikali.

Angali Majengo ya shule zinazo jengwa sasa na linganisha na zilizo jengwa na Kanisa au Wakoloni na baadae Nyerere akawanyang'anya kanisa. Shule kama Karatu Secondary wale watu wali project miaka 100 mbele hadi 200.

Angalia sasa shule zetu za kata projectiin ni miaka 3 hadi 4 mbele.
Ni sahihi kabisa,Bora ingekengwa nyashishi au usagara
 
Kipindi Nyegezi stand inajengwa huko porini mwaka 2005 nilikuwa nikipita pale najiuliza kama hao jamaa wana akili timamu kweli.

Kujenga stand ambayo haitazungukwa na makazi kwa miaka 100 ijayo labda serikali ipate eneo kubwa kama la Ikulu ya Dodoma wilaya ya Misungwi huko.
 
Back
Top Bottom