Nani alichoma moto soko kuu karikaoo? Moja ya KAZI za Tume zilizouundwa na kassim Majaliwa na kuizika je Samia ataifufua Leo? Waliolichoma sio wahuju

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Leo kwenye mitandao ya kijamii likiwemo jukwaa la jamii forum lililofungwa wako live wanamwonesha Mh Rais Samia na mwigulu lameck madilu mchemba wanafungua soko la karikaoo baada ya kuwa kwenye matenengezo ya Muda mrefu baada ya kuwa limechomwa moto na BAADHI ya wafanya biashara walizokuwa wanadaiwa mabilioni ya FEDHA na Mabenki mengi nchini na nje ya nchi Ili Liko wazi na kwa HABARI zaidi zinadai hata ndugu wa vigogo waliusika katika kuchoma moto soko lire Sasa je Leo itasomwa ripoti ya tume iliyoundwa na kassimu Majaliwa?

Moja ya makosa aliyokuwa akiyafanya kassimu Majaliwa na Dr Samia ni kuunda tume LAKINI majibu wanayakumbatia Sasa tunajiuliza tume Zina maana Gani?

Narudia Tena Leo tupewe ripoti tuyajue majitu yaliyoujumu soko ILO hata kama ni shemeji na ndugu wa wake na waume zenu.

Tuna haki kujua maana Kodi zilizotumika kulikarabati ni zetu na.zenu tafadhali tujuzane
 
nakushauri ujikite zaidi kwenye kufanya kazi gentleman,
matokeo ya chunguzi mbalimbali yanatolewa kwa ajili ya alieamua kuunda tume ya uchunguzi pekee, na ni hiyari yake kuweka matokeo hayo kwenye public domain.

Soko la kariakoo linafunguliwa tena, ni vizuri kuchanagamkia fursa kuliko kubabaika na naini alichoma :CouldYouNot:
 
Buladifakini Ili uje ulichome Tena Ili jipya sikubali
 
Gentleman,
ni muhimu zaidi kuchanagamkia fursa za kibiashara sokoni hapo bila kubabaika na sijui nani atachoma tena ama vinginevyo. Hakuna haja ya kupoteza muda na fikra hizo potofu.

Tutumie fursa ya kufunguliwa kwa soko hilo la kimataifa kujiongezea kipato na kuboresha maisha ya familia zetu :CouldYouNot:
 
Uvccm na Bakwata ndiyo wataalam wa kuchoma majengo. Bakwata wao wamebobea kuchoma moto mabweni ya shule zinazomilikiwa na Kanisa na Uvccm ni wabobezi kuchoma masoko na hawa wote ni Jumuiya za CCM.
 
Leo kwenye mitandao ya kijamii likiwemo jukwaa la jamii forum lililofungwa wako live wanamwonesha Mh Rais Samia na mwigulu lameck madilu mchemba wanafungua soko la karikaoo baada ya kuwa kwenye matenengezo ya Muda mrefu baada ya kuwa limechomwa moto na BAADHI ya wafanya biashara walizokuwa wanadaiwa mabilioni ya FEDHA na Mabenki mengi nchini na nje ya nchi Ili Liko wazi na kwa HABARI zaidi zinadai hata ndugu wa vigogo waliusika katika kuchoma moto soko lire Sasa je Leo itasomwa ripoti ya tume iliyoundwa na kassimu Majaliwa?

Moja ya makosa aliyokuwa akiyafanya kassimu Majaliwa na Dr Samia ni kuunda tume LAKINI majibu wanayakumbatia Sasa tunajiuliza tume Zina maana Gani?

Narudia Tena Leo tupewe ripoti tuyajue majitu yaliyoujumu soko ILO hata kama ni shemeji na ndugu wa wake na waume zenu.

Tuna haki kujua maana Kodi zilizotumika kulikarabati ni zetu na.zenu tafadhali tujuzane

Stagged drama kama kawa shitholeni...
 
nakushauri ujikite zaidi kwenye kufanya kazi gentleman,
matokeo ya chunguzi mbalimbali yanatolewa kwa ajili ya alieamua kuunda tume ya uchunguzi pekee, na ni hiyari yake kuweka matokeo hayo kwenye public domain.

Soko la kariakoo linafunguliwa tena, ni vizuri kuchanagamkia fursa kuliko kubabaika na naini alichoma :CouldYouNot:
Hii ni ishara ya kiburi cha hali ya juu
 
Hii ni ishara ya kiburi cha hali ya juu
ni ushauri tu ndugu mdau, unweza kuupuuza pia ikiwa sio muafaka kwako.

na ikiwa una ungyonge hasa wa kipato, lazima utaona ushauri wangu ni kiburi au hadaa.
Diama kuambiwa ukweli kuna kera sana :HAhaa:
 
Unajuwa ile style ya kuambiwa tokeni???
Alafu ukimaliza kujiuliza nani aliunguza soko la kko
Jiulize pia nani aliunguza/nini chanzo cha moto jengo la DDC kko ???

Ova
 
nakushauri ujikite zaidi kwenye kufanya kazi gentleman,
matokeo ya chunguzi mbalimbali yanatolewa kwa ajili ya alieamua kuunda tume ya uchunguzi pekee, na ni hiyari yake kuweka matokeo hayo kwenye public domain.

Soko la kariakoo linafunguliwa tena, ni vizuri kuchanagamkia fursa kuliko kubabaika na naini alichoma :CouldYouNot:
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Back
Top Bottom