HISTORIA: Jinsi Jina la "TANZANIA" lilivyobuniwa

IMG_7500.png
 
Tufanye Tanzania iitwe hata Islamic State of Tanzania(IST), tunachotaka sisi ni maendeleo na umasikini uishe, sio hizi porojo zako za kulazimisha Tanzania kuwa nchi iliyoanzishwa na Waislamu.
 
Yoda,
Unaghadhibika bure ndugu yangu.

Mimi nilofanya ni kuandika historia ya wazee wangu walivyounda African Association 1929, Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika) 1933 na TANU 1954 wakapigania uhuru wa Tanganyika.

Hata kama hawa wazee wangu hawangekuwa Waislamu na wakafutwa katika historia ningeliandika historia yao.

Hii si porojo.
Hii ni historia ya watu niliowajua na wengine wakanijua.
 
Mzee Said, Tunatambua mchango wa wazee wako katika kuunda taifa la Tanzania lakini pia ni vyema ukafahamu historia ya Taifa hili imeandikwa pia na watu wengine wengi wakiwemo Wakristo, Wahindu na Wapagani.

Kila wakati kujaribu kutukumbusha jinsi wazee wako wa Kiislamu na Kariakoo walivyohusika kuunda Tanzania ni tatizo. Pia hata kama ni kweli wazee wako walipuuzwa basi mtuhumiwa namba moja ni CCM iliyojaa Waislamu pia, wanyooshe kidole hao na waseme moja kwa moja badala ya kuzungukazunguka.

Sisi wajukuu wako hatuhusiki kuitweza historia ya wazee wako, unatuonea tu bure ukitaka tuwape nafasi ya mbele zaidi hao wazee wako.
 
Historia hii imependwa sana kiasi nimepokea tuzo nne.
Nimehojiwa na vyombo vingi vya habari ndani na nje ya Tanzania.

Nimetajwa katika majarida mengi maarufu Cambridge Journal of African History mbali na kualikwa kwenye vyuo vikuu ndani na nje ya mipaka yetu.

Mimi simkumbushi mtu historia hii wala simlazimishi kunisoma.
Ikiwa wewe historia hii inakuumiza moyo ukiona post yangu ipite wima usiifungue.

Wewe ni makamo ya wanangu.
Wewe ukiwa na watoto hao ndiyo wajukuu zangu mimi.

Mimi ni mjukuu wa Salum Abdallah Popo ambae ni babu yangu aliyekuwa mmoja wa waasisi wa TANU Tabora 1954.

Kundi la Abdulwahid na Ally Sykes hawa mimi ni baba zangu kwako wewe hawa ndiyo babu zako.
 
Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..."
  • Jinsi Jina Lilivyotengenezwa:
    • "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika bismillahi rahman rahim... baada ya hapo nikaandika jina la Tanganyika kisha nikaandika jina la Zanzibar halafu nikaandika jina langu... na madhehebu ya dini yake ya Kiislamu Ahmadiah..."
    • "Nilichukua herufi tatu kutoka jina la Tanganyika yaani TAN... na Zanzibar akachukua ZAN... nikachukua herufi ya kwanza ya jina langu... ambayo ni herufi I kisha akachukua herufi ya kwanza ya dini yake yaani Ahmadia (A)... nikawa nimepata jina la Tanzania..."

View: https://youtu.be/tNz35YMhCPM?si=uWpWcOnvZLRF-zG2

Nani anabisha?
 
Kuhusu tuzo mbona hata Yerico anazo
 
Kuhusu tuzo mbona hata Yerico anazo
Scars,
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

1792698016800.png

Hiki ndiyo chuo kinaongoza ulimwenguni katika African History.
Nimealikwa kuzungumza.
1792698333514.png

1792698378332.png

Toleo la Nne 2026
1792698532533.png

​
 
View attachment 3696548
Hiki ndiyo chuo kinaongoza ulimwenguni katika African History.
Nimealikwa kuzungumza.
View attachment 3696549
View attachment 3696550
Toleo la Nne 2026
View attachment 3696551
​
Kwa hiyo hivi ulivyo vitaja ndio vinakufanya wewe uonekane special dhidi ya Yerrico?
 
Nimetaka kukufahamisha mchango wangu katika historia ya Tanganyika.
Sikuwa na zaidi.

1792699650640.png

BBC Glasgow Scotland nikiwasilisha kipindi cha David Livingstone 1991​
 
Mbona shuleni haifundishwi hiyo historia yako?

Huo mchango wako huoni kama umepuuzwa?
Scars,
Hilo swali la kuwa historia niliyoandika katika kitabu cha Abdul Sykes
haisomeshwi si mimi wa kujibu swali hilo.

Swali hili waulize wenye kutayarisha mtaala wa somo la historia.
Kuhusu kupuuzwa halikadhalika waulize wanaotayarisha mitaala.

Ila mimi nitakueleza kuwa baada ya kuandika kitabu cha Abdul Sykes
Oxford University Press, Nairobi walinitia katika mradi wa kuandika vitabu
vya historia kwa ajili ya shule za msingi kwa lugha ya Kiingereza ili vitumike
kwa kusomesha historia na Kiingereza.

Moja ya vitabu nilivyoandika ni hiki hapo chini:

1792700927610.png

1792701027618.png

Toleo la Kwanza na Toleo la Pili
​
 
Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..."
  • Jinsi Jina Lilivyotengenezwa:
    • "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika bismillahi rahman rahim... baada ya hapo nikaandika jina la Tanganyika kisha nikaandika jina la Zanzibar halafu nikaandika jina langu... na madhehebu ya dini yake ya Kiislamu Ahmadiah..."
    • "Nilichukua herufi tatu kutoka jina la Tanganyika yaani TAN... na Zanzibar akachukua ZAN... nikachukua herufi ya kwanza ya jina langu... ambayo ni herufi I kisha akachukua herufi ya kwanza ya dini yake yaani Ahmadia (A)... nikawa nimepata jina la Tanzania..."

View: https://youtu.be/tNz35YMhCPM?si=uWpWcOnvZLRF-zG2

Sawa mtoto mzuri. Hadithi yako inatufundisha nini mzuri Mohamed Said?
 
Nenda Facebook page ya Manyema Sultanate page. Uone ulivyowachochea watu. Mpaka wakaanza kutukana . Nenda kasome comment. Nikasema kumbe kuanzisha vita ya Tanzania ni kazi ndogo sana.
Economist,
Weka link hapa ili watu wote tusome.
Hivi utakuwa umerahisisha kazi kwetu.

Vinginevyo mimi na wengine tutakuwa hatuna taarifa hii utabakia nayo wewe peke yako.
 
Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..."
  • Jinsi Jina Lilivyotengenezwa:
    • "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika bismillahi rahman rahim... baada ya hapo nikaandika jina la Tanganyika kisha nikaandika jina la Zanzibar halafu nikaandika jina langu... na madhehebu ya dini yake ya Kiislamu Ahmadiah..."
    • "Nilichukua herufi tatu kutoka jina la Tanganyika yaani TAN... na Zanzibar akachukua ZAN... nikachukua herufi ya kwanza ya jina langu... ambayo ni herufi I kisha akachukua herufi ya kwanza ya dini yake yaani Ahmadia (A)... nikawa nimepata jina la Tanzania..."

View: https://youtu.be/tNz35YMhCPM?si=uWpWcOnvZLRF-zG2

Mtoto wa Dokta Samia.
 
Back
Top Bottom