Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,452
- 34,004
Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..."
View: https://youtu.be/tNz35YMhCPM?si=uWpWcOnvZLRF-zG2
- Jinsi Jina Lilivyotengenezwa:
- "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika bismillahi rahman rahim... baada ya hapo nikaandika jina la Tanganyika kisha nikaandika jina la Zanzibar halafu nikaandika jina langu... na madhehebu ya dini yake ya Kiislamu Ahmadiah..."
- "Nilichukua herufi tatu kutoka jina la Tanganyika yaani TAN... na Zanzibar akachukua ZAN... nikachukua herufi ya kwanza ya jina langu... ambayo ni herufi I kisha akachukua herufi ya kwanza ya dini yake yaani Ahmadia (A)... nikawa nimepata jina la Tanzania..."
View: https://youtu.be/tNz35YMhCPM?si=uWpWcOnvZLRF-zG2