Nani alaumiwe matokeo ya Islamic Knowledge?

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Siku za hivi karibuni Mufti alimtaka Ndalichako ajiuzuru kutokana na kuwafelisha waislam, Leo Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na waislam juu ya matokeo mabaya wanayodhani yalisababishwa na Necta,Nimepitia gazeti la leo la Mwananchi limetoa matokeo yaliyofanyiwa marekebisho, kwa page zote nane zilizobeba matokeo hayo nimekutana na "A" mbili na "B" tisa tu robo tatu yake ni "F"
Sasa nashindwa kuelewa tatizo hapa liko wapi,Necta,Walimu au Wasaishaji(ambao naamini ni Waislam wenzao)?
 
Alaumiwe aliouanzisha udini Tanzania. Kuna watu walikuwa wakiomba kura na kuingiza udini. Sasa matokeo ndio haya.
 
hakuna wa kulaumiwa labda wanafunzi wenye ni vichwa panzi na vilaza kwenye hilo somo au hawamuelewi Maulamaa kwasababu haiwezekani % kubwa hivyo wafeli , afu kwani wanavyodai Dr Joyce Ndalichako ajiuzulu kwani yeye anajua hicho kiarabu chao awafelishe hiyo islamic knowledge? mbona claims zao hazina msingi wowote ,wakajipange tu .wasifikirie kwakutumia Masaburi bana our government have no religion.
 
Siku za hivi karibuni Mufti alimtaka Ndalichako ajiuzuru kutokana na kuwafelisha waislam, Leo Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na waislam juu ya matokeo mabaya wanayodhani yalisababishwa na Necta,Nimepitia gazeti la leo la Mwananchi limetoa matokeo yaliyofanyiwa marekebisho, kwa page zote nane zilizobeba matokeo hayo nimekutana na "A" mbili na "B" tisa tu robo tatu yake ni "F"
Sasa nashindwa kuelewa tatizo hapa liko wapi,Necta,Walimu au Wasaishaji(ambao naamini ni Waislam wenzao)?
Wa kwanza kabisa ni NECTA. Kilichokosewa sio 'usahihishaji wa mitihani' bali namna ya kurecord na kutoa matokeo yenyewe. NECTA walipaswa ku update system zao za kukokotoa matokeo. Ni wazi sasa kuwa kuna mtu katika NECTA hakufanya kazi yake inavyostahili.
 
Siku za hivi karibuni Mufti alimtaka Ndalichako ajiuzuru kutokana na kuwafelisha waislam, Leo Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na waislam juu ya matokeo mabaya wanayodhani yalisababishwa na Necta,Nimepitia gazeti la leo la Mwananchi limetoa matokeo yaliyofanyiwa marekebisho, kwa page zote nane zilizobeba matokeo hayo nimekutana na "A" mbili na "B" tisa tu robo tatu yake ni "F"
Sasa nashindwa kuelewa tatizo hapa liko wapi,Necta,Walimu au Wasaishaji(ambao naamini ni Waislam wenzao)?

Sijakuelewa, yaani after correction zimepatikana A mbili na B tisa tu, the rest remains the same?
 
Who told you remained the same?

Why don't you think beyond your normal capacity that there could be some Cs not mentioned here??
That probably they were F b4??

Even though, how many A & B available b4 this re-calculation??
 
Hao wanafunzi wenyewe ni kama Mwanaasha,watafaulu vipi wakati ufahamu wao ni mdogo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom