Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
lowasa - nakufa live
Mimi nitafurahi mheshimiwa Mrema akiteuliwa waziri wa mambo ya ndani. Wengine tumechoka na porojo na propaganda za majukwani ambazo hazimuongezei Mtanzanania tija hata siku moja.
Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
ukifa...najitundika
Nitafurahi sana kama Edward Lowasa akiwa waziri mkuu. Huyu jamaa ni mchapa kazi hataki longolongo wala uzembe. Nitasikitika kama Chenge akipata uwaziri ama unaibu uwaziri.