Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,398
- 39,547
Kuna watu/mtu ambaye ukisikia kapewa Uwaziri au hata Unaibu utashangaa, utasikitika au utafurahia, ni yupi huyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Lowasa, Chenge, Rostam, Sofia, Ghasia, Kawambwa, Burian, Mkulo, Ngeleja, Mahanga..nitashangaa na kusikitika sana
Kuongea na kutenda ni vitu tofauti, utakuwa umepotoka kidogo pole.Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
wanawake na watoto ungempendekeza nani?....mambo ya nje je?
Kuongea na kutenda ni vitu tofauti, utakuwa umepotoka kidogo pole.