My friend leading is more than that! Kumbuka JK got 80% in 2005... lakini kama asingefanya kazi ya ziada 2010... jahazi lilikuwa linazama...Asante Kasheshe ila nadhani unaelewa kuwa sehemu kubwa ya hawa waheshimiwa wanafanya kazi kwa vidole yaani kuagiza na kuletewa report na kwa misimamo yao kwa utendaji wetu wa kirasimu ambao wanapenda kupigiwa kelele na kufuatiliwa nyuma watakuwa bora kuliko baadhi ya hizo picha tunazoambiwa ni mawaziri
My friend leading is more than that! Kumbuka JK got 80% in 2005... lakini kama asingefanya kazi ya ziada 2010... jahazi lilikuwa linazama...
I can assure... kwa mfano wapo viongozi wazuri zaidi ya hata hawa waliogombea urais in 2010. Hivyo hivyo kwenye uwazir wapo watu makini sana lakini kwa kuwa hawapigi makelele we don't see them...
Lakini Tanzania imefikia mahali wale wanaopiga kelele ati ndio viongozi wazuri... it is not always true... angalia Amani Abeid Karume... anaongea kwa taratibu but look his achievement... sasa subiri uone Dk. Shein atakavyoiendesha Zanzibar ... but naturally he doesn't make noises.
Katika baraza la mawaziri kama Kilango toa! Magufuli I'm okay kama waziri lakini sio kama waziri mkuu!!!

Mzee Mwanakijiji, Edward Ngoyai Lowasa akirudishwa kuwa PM, mimi nitafurahi kwa dhati kutokana na track record yake ya utendaji, ukiondoa his role kwenye Richmond.Kuna watu/mtu ambaye ukisikia kapewa Uwaziri au hata Unaibu utashangaa, utasikitika au utafurahia, ni yupi huyo?
Mzee Mwanakijiji, Edward Ngoyai Lowasa akirudishwa kuwa PM, mimi nitafurahi kwa dhati kutokana na track record yake ya utendaji, ukiondoa his role kwenye Richmond.
Huko nyuma ilishawahi kutokea
Kawawa alikuwa PM 22 January 1962 mpaka 9 December 1962 post ilipofutwa. Akarudishwa tena 17 February 1972 hadi 13 February 1977
Edward Moringe Sokoine alikuwa PM 13 February 1977 hadi 7 November 1980 akawa too much, akaondolewa akaletwa Cleopa David Msuya 7 November 1980-24 February 1983, Moringe akarudishwa tena 24 February 1983-12 April 1984 alipoitwa mbele ya haki.
Msuya akarudishwa tena 7 December 1994-28 November 1995.
Nawaombeni tusimchukie Lowassa kwa chuki binafsi, tuchukie matendo yake na kuyalaani kwa nguvu zote, lakini yeye kama binadamu hakuna mkamilifu, asamehewe, penitentiary aliyokaa imemtosha, amejifunza, atajirekebisha.
Pasco.
Mzee Mwanakijiji, naungana na wewe, hili ni tatizo, unapofanya kosa, hatua ya kukubali kosa ni muhimu sana ndipo unajutia kosa na kuomba msamaha, EL bado hajakubali kosa, anajiaminisha alionewa, macho yake ni red rage, revange mmeiona, walianza kwa Selelii wakafanikiwa, Mwakiembe ni kisiki, Sitta ndio huyo chini. King Maker atamba huko kwenye corridors kuwa its him, tusubiri line-up, acha EL arudi na 2015 asimamishwe yeye ili iwe kama kumsukuma mlevi.Pasco.. sidhani kama wote ambao wanampinga EL wanampinga kwa sababu ya chuki; binafsi bado naamini (na nimewahi kuandika hivyo mara nyingi) kuwa ndani ya CCM hakuna the most capable politician than EL. Tatizo ni kwamba miaka aliyokuwa nje hajaonekana kuwa remorseful of what happened under him, and secondly baada ya kujeruhiwa vibaya.. atageuka na kuwa vipi this time around.
ukifa...najitundika
Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
Mawaziri wakuu Kawawa Sokoine Msuya tunaelewa walitoka vipi na kurudi vipi lakini kutoka kwa Lowassa ni tofauti kabisa yeye alitoka kwa kashifa.Mzee Mwanakijiji, Edward Ngoyai Lowasa akirudishwa kuwa PM, mimi nitafurahi kwa dhati kutokana na track record yake ya utendaji, ukiondoa his role kwenye Richmond.
Huko nyuma ilishawahi kutokea
Kawawa alikuwa PM 22 January 1962 mpaka 9 December 1962 post ilipofutwa. Akarudishwa tena 17 February 1972 hadi 13 February 1977
Edward Moringe Sokoine alikuwa PM 13 February 1977 hadi 7 November 1980 akawa too much, akaondolewa akaletwa Cleopa David Msuya 7 November 1980-24 February 1983, Moringe akarudishwa tena 24 February 1983-12 April 1984 alipoitwa mbele ya haki.
Msuya akarudishwa tena 7 December 1994-28 November 1995.
Nawaombeni tusimchukie Lowassa kwa chuki binafsi, tuchukie matendo yake na kuyalaani kwa nguvu zote, lakini yeye kama binadamu hakuna mkamilifu, asamehewe, penitentiary aliyokaa imemtosha, amejifunza, atajirekebisha.
Pasco.
Mzee Mwanakijiji, naungana na wewe, hili ni tatizo, unapofanya kosa, hatua ya kukubali kosa ni muhimu sana ndipo unajutia kosa na kuomba msamaha, EL bado hajakubali kosa, anajiaminisha alionewa, macho yake ni red rage, revange mmeiona, walianza kwa Selelii wakafanikiwa, Mwakiembe ni kisiki, Sitta ndio huyo chini. King Maker atamba huko kwenye corridors kuwa its him, tusubiri line-up, acha EL arudi na 2015 asimamishwe yeye ili iwe kama kumsukuma mlevi.