Nandy asema anaweza ku-date na Bill Nass ila siyo Dogo Janja

Nadhani alikua anaongea huku anakumbuka vidole vya mkund_ alivyokua anapigwa na bill nass
 
Msanii wa Muziki Bongo, Nandy amesema anaweza ku-date na Bill Nass ila siyo Dogo Janja kutokana na urafiki wao kuwa wa karibu zaidi.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Kivuruge’ ameiambia The Playlist, Times FM kuwa Bill Nass anamvutia zaidi ya Dogo Janja, hivyo anaweza kumtazama kwa jicho la pili.

“Dogo Janja ni rafiki yangu, Dogo Janja hayupo kabis labda Bill Nass watu wanavyomzungumzia naweza nikakaa mwenye pembeni nikasema ok, labda nikamtazama kwa jicho la pili lakini Dogo Janja siwezi hata nikapoteza muda kumfikiria kwa sababu ni nigger wangu” amesema Nandy.

“Si kwa kwamba (Dogo Janja) siyo type yangu, ni kijana mwenzangu lakini ni rafiki yangu ambaye najua matatizo yake na yeye anajua ya kwangu tuna-share kiasi kwamba siwezi hata kumfikiria lakini Bill naweza kumfikiria” amesisitiza.

Katika hatua ngingine Nandy ameeleza licha ya kuwepo tetesi nyingi kuwa ana-date na Bill Nass hakuna jambo kama hilo na Bill Nass hajawahi hata kumueleza kuwa anamuhitaji.
Source: Bongo5
Kumbukumbu huwa hazipotei.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom