Nimekupa somo kubwa la kifalsafa kuwa binadamu wote tuna mapungufu na hivyo hakuna mrembo hivyooo.Wewe ni hewa.
Wala mimi sijasema mwanamke huyo ni mrembo. Nimetatizwa na kauli yako kuwa kama anakunya basi si mrembo.
Hivi, umewahi kumuona asiyekunya? Ni binadamu? Kwa sababu, kwa mtazamo wako wewe basi kuna ambaye hanyi na ndiye mrembo kwako.
Je, yupo?
Ungekataa kwa sifa nyinginezo, wala usingeona nauliza. Ila kwa sababu hiyo ni sifa universal za kila binaadam, potelea mbali mwanamke, nimeshurutika kuuliza.
Acha upoyoyo wa kutaka kuonesha utofauti. Mpaka unapitiliza.
πππ sio kweli BwasheeHawa vijana wengi wanagonga Grants za weekend wana upwiru sasa hivi hata ukimuweka Lizzie Velasquez hapa wengine watakuonesha urembo wake tu.
View attachment 3650820
Haya basi tunapandisha viwango kidogo mpaka kwa Amber Rutty.πππ sio kweli Bwashee
Kunya si sehemu ya mapungufu ya binadamu. Na hakuna falsafa yeyote iliyowahi kutaja kama kunya ni kasoro, la hasha!Nimekupa somo kubwa la kifalsafa kuwa binadamu wote tuna mapungufu na hivyo hakuna mrembo hivyooo.
Waswahili wanasema hakuna kizuri kisicho kasoro.
Ila wewe akili ndogo hujaweza kulielewa somo hili.
Hahaha, dahAkili za kipumbavu hizi.
Kunya ni inefficiency, ni a system not being able to process energy efficiently and excreting it as waste product.Kunya si sehemu ya mapungufu ya binadamu. Na hakuna falsafa yeyote iliyowahi kutaja kama kunya ni kasoro, la hasha!
Bali anayekosa sifa hiyo ndiyo anaonekana kuwa na kasoro na matatizo.
Ni sifa ya kipekee na ya muhimu.
Akili zako ni finyu.
Kushindwa kutofautisha kati ya mapungufu na sifa za kipekee.
π πKunya ni inefficiency, ni a system not being able to process energy efficiently and excreting it as waste product.
Ni kutoa uchafu.
It is the opposite of perfection. The opposite of beauty.
Ndiyo maana watu wanakunya in privacy.
Ila wewe huwezi kuelewa hili somo kwa sababu hujui mengi kuhusu beauty in design, hujui elegance.
Unakubali tu kwa sababu tunakunya wote, basi ni sawa tu.
Kumbe kunya ni mapungufu πππ
Heee!aisee....Kunya ni inefficiency, ni a system not being able to process energy efficiently and excreting it as waste product.
Ni kutoa uchafu.
It is the opposite of perfection. The opposite of beauty.
Ndiyo maana watu wanakunya in privacy.
Ila wewe huwezi kuelewa hili somo kwa sababu hujui mengi kuhusu beauty in design, hujui elegance.
Unakubali tu kwa sababu tunakunya wote, basi ni sawa tu.
Kumbe kunya ni mapungufu πππ
Inawezekana ni wewe ndiye unaenda kuchanganyikiwa kwa kutokujua kufuatilia mambo kimantiki, kwa muktadha, kwa the right temperament.Heee!aisee....
Watu mnaenda kuchanganyikiwa kwa hizi reasoning.
Fanya hima.Usije kukuta wamekuachia makongoro na watoto wao uwalelee.Huyo mtoto ni maini matupu, sijaona binti mrembo kama huyo kwenye tasnia ya sanaa, katoto katamu sana kana akili ya haraka mno .
Ngoja nisake pesa ili siku moja nije niweke hata kidole tuView attachment 3650769
Una moyo mpana kama basi la mwendokasi.Najua Madoni wameshakachapa sana , ila lazima na mimi niweke pesa bwashee π
Halafu unajua Madoni wakishakachapa wanaweza kukaona ka kawaida tu, ila wewe ambaye hujakachapa ukakaona almasi fulani hivi.Najua Madoni wameshakachapa sana , ila lazima na mimi niweke pesa bwashee π kwani nakunywa pesa za shilingi ngapπ
Mara nyingi hizo ni kauli za kujipa moyo haswa pale unapogundua kuna wanawake fulani utabaki kuwasikia na kuwaona kwenye medias tu..Umeuliza swali halafu unajijibu mwenyewe.
Suala la urembo ni suala la mtu binafsi kuamua wala hakuna urembo ulio objective.
Mimi sijaona cha ajabu hapo. Naona labda vijana wana upwiru tu wanazuzuka na manywele ya kununua na ma makeup hayo.
Kunya kunakuonesha ni mtu tu kama wengine, hana cha ajabu hiivyo.
Angekuwa hanyi labda tungesema huyu si wa kawaida.
Naendelea kuhitimisha juu ya uwezo wako finyu wa kufikiri.Kunya ni inefficiency, ni a system not being able to process energy efficiently and excreting it as waste product.
Ni kutoa uchafu.
It is the opposite of perfection. The opposite of beauty.
Ndiyo maana watu wanakunya in privacy.
Ila wewe huwezi kuelewa hili somo kwa sababu hujui mengi kuhusu beauty in design, hujui elegance.
Unakubali tu kwa sababu tunakunya wote, basi ni sawa tu.
Kumbe kunya ni mapungufu πππ
Ni kweli kabisa bwashee π π ila nifanikiwe kukachapa kwanzaπHalafu unajua Madoni wakishakachapa wanaweza kukaona ka kawaida tu, ila wewe ambaye hujakachapa ukakaona almasi fulani hivi.
Na wewe siku ukishakachapa unaweza kukaona kawaida tu?
It is all subjective.
Ndiyo maana nakwambia kakishakuwa kanakunya tu, ni ka kawaida tu, ila upwiru tu unatudanganya ππ