Nishabanika maini kwenye glass ya grants kubwa hapamkuu....๐คฃMno mwanagu tulewe tu๐
Kunya au kutokunya kunajustify urembo wa mwanamke?Anakunya hanyi?
Umeuliza swali halafu unajijibu mwenyewe.Kunya au kutokunya kunajustify urembo wa mwanamke?
Such an idiotic view.
Kula nyama bwashe.Sure๐ hapo napiga kavu kwa wivu mkubwa
Sijajijibu.Umeuliza swali halafu unajijibu mwenyewe.
Suala la urembo ni suala la mtu binafsi kuamua wala hakuna urembo ulio objective.
Kunya kunakuonesha ni mtu tu kama wengine, hana cha ajabu hiivyo.
Angekuwa hanyi labda tungesema huyu si wa kawaida.
Tulia Bwashee, umemwona nana alivyo mzuri lakini au ni ulevi wangu tu?Sijajijibu.
Nimeona mtazamo wako juu ya urembo ni wa kipuuzi mno. Nimeuliza swali, mtu kutokunya ndiyo urembo kwa muono wako? Kama ndiyo, basi una mtazamo usio na maana.
Au labda pengine hujui maana ya urembo, naomba nikupe tafsiri yake;
Urembo ni hali ya kuwa na uzuri au sifa zinazomfanya mtu au kitu kivutie na kupendeza.
Umeona kuna popote wametaja kunya?
Kwa maoni yako ni mzuri. Na maoni yako yaheshimiwe.Tulia Bwashee, umemwona nana alivyo mzuri lakini au ni ulevi wangu tu?
Bwashee komaa kwa hasira kali snaNishabanika maini kwenye glass ya grants kubwa hapamkuu....๐คฃ
Kuna bibi nilikua namuwinda kitamboooo, hapa nishambana kwenye kona mazeee...๐
Naongezq bidii tu, maana akinitema tu, na alivyo muimba kwaya kesho aibu yangu church....๐ฎโ๐จ
Nimekwambia huo urembo wenyewe ni subjective.Sijajijibu.
Nimeona mtazamo wako juu ya urembo ni wa kipuuzi mno. Nimeuliza swali, mtu kutokunya ndiyo urembo kwa muono wako? Kama ndiyo, basi una mtazamo usio na maana.
Au labda pengine hujui maana ya urembo, naomba nikupe tafsiri yake;
Urembo ni hali ya kuwa na uzuri au sifa zinazomfanya mtu au kitu kivutie na kupendeza.
Umeona kuna popote wametaja kunya?
Wewe ni hewa.Nimekwambia huo urembo wenyewe ni subjective.
Huelewi wapi?
Kwanza huyo mrembo wenu kavaa manywele ya wazungu ya kununua kuna watu tunaona huo si urembo ni ushamba.
Lakini wewe unaruhusiwa kumuona mrembo, na mimi ninaruhusiwa kusema kama anakunya ni wa kawaida tu.
Kwa sababu suala la urembo halina kipimo objective.
Sasa kwa nini unataka kulazimisha unayemuona mrembo wewe awe mrembo kwa kila mtu?
Hawa vijana wengi wanagonga Grants za weekend wana upwiru sasa hivi hata ukimuweka Lizzie Velasquez hapa wengine watakuonesha urembo wake tu.Ajavu ukishakuvulia chupi anabaki wa kawaida tu.
Bwashee vita yenu komaeni nayo mwenyewe ๐Wewe ni hewa.
Wala mimi sijasema mwanamke huyo ni mrembo. Nimetatizwa na kauli yako kuwa kama anakunya basi si mrembo.
Hivi, umewahi kumuona asiyekunya? Ni binadamu? Kwa sababu, kwa mtazamo wako wewe basi kuna ambaye hanyi na ndiye mrembo kwako.
Je, yupo?
Ungekataa kwa sifa nyinginezo, wala usingeona nauliza. Ila kwa sababu hiyo ni sifa universal za kila binaadam, potelea mbali mwanamke, nimeshurutika kuuliza.
Acha upoyoyo wa kutaka kuonesha utofauti. Mpaka unapitiliza.