Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,822
- 59,435
nilikulike nikadelete, badala ufurahi unatafutwa! sikuhizi bwana......griiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nifurahie nini sasa? Kwani kutafutwa mali?
nilikulike nikadelete, badala ufurahi unatafutwa! sikuhizi bwana......griiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:lol: sio akakojoe na akalale?
Anataka ufurahie pumba zake :lol:Nifurahie nini sasa? Kwani kutafutwa mali?
Ungekuwa karibu ningekupiga kibao!:lol: sio akakojoe na akalale?
hehehe jf imekucha.
ww unajipromote tu wenye nia kweli wananyoosha moja kwa moja pm wakifika huku wanajikausha kimya.
itabia macelebu wa jf lol tukatie majina yetu haki miliki mtu akitaka kutumia jina cheusi bila malipo anapigwa fine.
Acha kumpotosha kijana wa watu. . . .
cheusi cheusi mangala!! sema king'amuzi changu kimemuona Lizzy! Subiri zamu yako siku nyingine.hehehe jf imekucha.
ww unajipromote tu wenye nia kweli wananyoosha moja kwa moja pm wakifika huku wanajikausha kimya.
itabia macelebu wa jf lol tukatie majina yetu haki miliki mtu akitaka kutumia jina cheusi bila malipo anapigwa fine.
wewe ndiyo li mtu sasa.Hakuna cha mtu kupotoshwa hapa! Kuna tetesi ulikwenda kwa Babu na uliposhika kikombe ukaomba BAHATI (Fortune) sasa hayo ndiyo matokeo ya kikombe! But kama tetesi ni za kweli.
hehehe jf imekucha.
ww unajipromote tu wenye nia kweli wananyoosha moja kwa moja pm wakifika huku wanajikausha kimya.
itabia macelebu wa jf lol tukatie majina yetu haki miliki mtu akitaka kutumia jina cheusi bila malipo anapigwa fine.
kweli mwambie bwana aache kubana!Lizzy acha kubana mwachie chance hata naye awe happy
Niambie mkubwa swalama?
Ombi maalumu mtu wangu! pokea basi.Hahahaha. . .
Kweli kabisa Cheusie. . . sio wanatumia tu majina yetu kujifaidisha , tena bila hata ruhusa.
Loh. . . kama bahati yenyewe ndio iko hivi bora nikamwambie babu aichukue. Siitaki mie.Hakuna cha mtu kupotoshwa hapa! Kuna tetesi ulikwenda kwa Babu na uliposhika kikombe ukaomba BAHATI (Fortune) sasa hayo ndiyo matokeo ya kikombe! But kama tetesi ni za kweli.
Acha kumpotosha kijana wa watu. . . .
Lizzy acha kubana mpe chance hata naye awe happy
kuzimikiwa si mchezo.
Ombi maalumu mtu wangu! pokea basi.