Namzimia sn huyu

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
7,600
Reaction score
6,721
jamani, msema kweli mpenzi wa Mungu huyu dada naezimia vibaya mno naheshimu mipaka but nimeona nitoe dukuduku langu.
 
Attachments

  • Wastara2.jpg
    6.5 KB · Views: 526
Anaitwa Wastara yuko bongo hii hii mkuu
 
Anaitwa Wastara na ni MKE wa mtu kwahiyo ishia hapohapo.
 
kaka huyo si ni mke wa mtu? nadhani sasa unatafuta balaa!
hapo ni bora usahau,jaribu kwingine?
 
Ndiyo maana nikasema naheshimu mipaka kaka, ila i wish nije kupata wa mfano wake.
 
Mijitu mingine bana!!!mbona wa kawaida sana mkuuu???
 
sijaanza kumsikia na kumuona leo kaka. kwani umeshawahi kusikia ana scandal yoyote bongo hii!!??
 
huna namba za Sajuki umwambie kuwa umemzimia mke wake???
Mwombe Mungu atakupatia wako wa kufanana nae.
 
sijaanza kumsikia na kumuona leo kaka. kwani umeshawahi kusikia ana scandal yoyote bongo hii!!??
So umemzimia kwasababu hana skendo??? Ashawahiwa huna bahati.
 
huna namba za Sajuki umwambie kuwa umemzimia mke wake???
Mwombe Mungu atakupatia wako wa kufanana nae.

Duuh hapo ntakuwa nachezea sharubu za simba. Naimani ntampata Inshallah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…