NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 309
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
sijaona hatari yoyote hapouna hatari wewe....mmmh
sijaona hatari yoyote hapo
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
sasa kwa mfano huyo mkewe akijua.....itakuwaje?
My dear,naona umedhamiria,kama umefanya kila kitu haja respond,mpotezee,si kwamba hakuoni bali hakuhitaji,unajichoresha tu kwa tamaa ambazo una uwezo wa kuzizuia hata ukifanya bidii kidogo.....yaani mbele ya macho yake anakuona pepo fulani hivi linalotaka kumuharibia maisha yake.....mwanaume angekuwa anakutaka mbona tayari mngekuwa mbali? mtafute wa peke yako acha kuendekeza tamaa kwa wanaume wa wenzio waliotunzwa vizuri,tafuta wako mtengeneze vizuri.....you deserve your own man.....acha desperation,unaonekana kituko........
Lakini pia waweza muuliza mkewe alimpataje kama ukiona huwezi kabisa!!!! :laugh::laugh::laugh:
Sijaelewa maana yakohalisi!!
Unamaana ya Kumtamani au kumpenda?
Kama ni kumpenda jaribu kubadilisha eneo la kufanya mapenzi na mumeo yaani badala ya Kufanya naye mapenzi nyumbani nendeni sehemu kama hoteli au hifadhili.
Kama ni kumtamani tambua kwamba baada ya huyo utatamani mwingine baadaye mwingine na mwingine mwisho wa siku jirani zako na rafiki zako watakutambua kwa jina la MALAYA!
Halafu Michelle wewe ni mtu wa kuni mind sana, hapa naona hujanisaidia sana sana umeniponda tu