Namzimia mtangazaji East Africa Radio Scola Kisanga

Malyakishu

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
1,968
2,344
Habari,

Wakuu, naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa East Africa radio Scola Kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisa lakini nampenda sijui kwanini, kama Scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata.
 
Vijana wa mwendo kasi hawa wanaitwa.... unampendaje mtu usiemjua wewe
Hivi nilazima uweke comment yako? Kama huna si unyamaze ....alafu wewe unaowapenda wote unawafahamu?....

Samahani Mimi sio kijana heshima ifate mkondo wake ..huyu binti nimependa sauti yake na utangazaji wake...
 
Aaaah... sawa mkuu
 
Hahaha, ungesema hivi tokea mwanzo na pia kwani Wazee hawapendi,? Unajikanyaga kanyaga.
 
Habari......

wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
ok penda penda
 
tanzania ya viwanda hiyo! mawazo strategic kwa uchumi wetu safi endelea kuzimia.
 
Habari......

wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
daaa nimekuja mbio nikajua umeweka picha mkuu.....
 
Habari......

wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
Au ni wewe mwenyewe!
 
Huyu binti anajua sana kutangaza na sauti yake ina nivutia sana hunifanya nisikilize EA DRIVE(NDINGA) halafu kipindi chao ni moja ya vipindi bora vya jioni kuna ubunifu wa pekee,,
Mwanzo nilikuwa namfananisha sauti yake na Irene Tilya
malyakishu
 
Attachments

  • 15624977_1866432683591270_8796053379659857920_n(1).jpg
    15624977_1866432683591270_8796053379659857920_n(1).jpg
    35.2 KB · Views: 246
  • 15875965_1222699687818250_8661842622391779328_n.jpg
    15875965_1222699687818250_8661842622391779328_n.jpg
    57.9 KB · Views: 283
  • 15876005_1790010477883069_5697257419311153152_n.jpg
    15876005_1790010477883069_5697257419311153152_n.jpg
    26.9 KB · Views: 236
  • 15876474_163972004086104_6831471270442303488_n.jpg
    15876474_163972004086104_6831471270442303488_n.jpg
    6.4 KB · Views: 228
  • 15877305_652604204919620_4228647902823579648_n.jpg
    15877305_652604204919620_4228647902823579648_n.jpg
    15 KB · Views: 178

Similar Discussions

Back
Top Bottom