Namwonea huruma Rais wa 2015 awe CCM au UKAWA

Namwonea huruma Rais wa 2015 awe CCM au UKAWA

kama akiwa rais kutoka ccm ndio itakuwa tabu lakini Rais akitoka upinzani jambo la kwanza ni kuchukua mali zote walziojilimbikizia viongozi wa ccm kulipia madeni
Hawa Ukawa ni Wachagga na wapemba wakiziuza si wanachukuwa wao?
 
Ukawa huwa naingia ikulu kunywa juice tu si vinginevyo.


Unaonyesha unaishi kwa shemejiyako aliyemchukua dadayako kwa sababu unawaza kula tu bila kufanya kazi na ndio maana una post ujinga tu!
 
unamwone ahuruma wakati anaenda kula raha kamili. Wewe unamfuata Mwl alyesema ikulu ni mzigo, wenzio wanasema sio nzigo kama ukiubaba kifisadi kifisadi.
 
Serikali hii ya ccm kuna watu wanaipongeza kwa kupunguza madeni ya walimu, wanachosahau serekali hii hii...inatakiwa kulipa madeni ya wabunge ambayo wanadai kwa muda mrefu sasa,Waheshimiwa wengi mpo hapa kujeni mseme kama nadanganya.

Haya nayasema si kwa bahati mbaya ila nilisikia jana Naibu Spika, Job Ndugai, akilalama waheshimiwa mifuko yao ni meupe hawana fedha,walimu wamepunguzwa kutoka bilion 60 na sasa wanadai billion 4 Lakini cha kusikitisha leo hii Muhimbili hamna dawa hata moja hazina kweupeee...serekali imekuwa mufilisi lakini kuna mazuzu wanajisifu.

Nimejiuliza hivi JK atapata wapi pesa za kuwalipa hawa wachina na wazungu kama wamechoka kumkopesha? maana sasa hawamkopeshi tena nasikia wanataka chao tu....namwonea huruma sana Rais wa 2015 atakavyochukuwa nchi ikiwa sakala awe wa Ukawa au hata wa hao CCM!

Hivi unakumbukumbu nzuri kama Rasi wa awamu ya tatu alikuta nini kwenye chungu, na alifanya nini kujaza chungu hicho.
 
Rejea msemo wa waswahiri'kimfaacho mtu ndio chake,watu wa Ccm wanaamini Ikulu ya magogoni niyakwao kama vile viwanja vya mpila na ofisi za Ccm bila kujua 2016 wataanza upya kutafuta viwanja wajenge ofisizao huku wakiwa wapinzani

viwanja vyao kwa makubaliano gani na baina ya nani? ccm imepora viwanja vya watanganyika
 
Ikulu ninayoijua mimi haiwezi kuingia NAJISI.


Hivi, hata penye kutoa pointi ukiwa CCM ndo tu kutoa pumba! Shame on you....Mzee Mkapa alikabidhiwa nchi ikiwa hoi kabisa,hazina haikuwa na kitu....ki ukweli alijitahidi kiasi kikubwa sana kuweka japo kadespline ka pesa. JK kakuta hazina iko vizuri kajisahau kafikiri pesa inapotoka inaongezeka hakujua inapotoka inapungua....safari kibao za kutumia bilioni za pesa,ukusanyaji wa kodi hakuna yeye na washikaji hadi imefikia hazina kuwa hoi the same as mzee Mkapa alivyochukua nchi. Hili wala si utani,ni la msingi kabisa ya kuwa raisi ajaye,na kama tutapata kama anaeondoka basi itakuwa bora kuishi jehanamu kuliko Tanzania yenye maliasili kibao lakini hazina iko hoi.....
 
Kuwa ccm ni shida,ona wanavojibu hoja hovyo hovyo.Hivi ukiwa ccm lazima akili zako uweke mfukoni halafu ujazwe upepo?Taifa litaendelea kwa fikra mbovu kiasi hiki?
Usihofu mkuu hayo ni majibu ya wale watoto wa kukodishwa wa CCM. Hawana elimu yoyote, ujira wao ni elfu saba.
 
Back
Top Bottom