Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Serikali hii ya ccm kuna watu wanaipongeza kwa kupunguza madeni ya walimu, wanachosahau serekali hii hii...inatakiwa kulipa madeni ya wabunge ambayo wanadai kwa muda mrefu sasa,Waheshimiwa wengi mpo hapa kujeni mseme kama nadanganya.
Haya nayasema si kwa bahati mbaya ila nilisikia jana Naibu Spika, Job Ndugai, akilalama waheshimiwa mifuko yao ni meupe hawana fedha,walimu wamepunguzwa kutoka bilion 60 na sasa wanadai billion 4 Lakini cha kusikitisha leo hii Muhimbili hamna dawa hata moja hazina kweupeee...serekali imekuwa mufilisi lakini kuna mazuzu wanajisifu.
Nimejiuliza hivi JK atapata wapi pesa za kuwalipa hawa wachina na wazungu kama wamechoka kumkopesha? maana sasa hawamkopeshi tena nasikia wanataka chao tu....namwonea huruma sana Rais wa 2015 atakavyochukuwa nchi ikiwa sakala awe wa Ukawa au hata wa hao CCM!