Kwahiyo Mama Samia alikuwa boss wa Ndugai ?Kati ya Mimi na ww wa kushirikisha ubongo ni Nani we kilaza , Kati ya ndugai na mama Samia Nani alikuwa boss kwa mwenzake...ni mpuuzi Tu anayeweza kumlaumu ndugai alaf ukamwachia Samia ,na hili hata Kigogo analisemea
Hivi wewe una akili kweli?Ndungai alikuwa na nguvu kumzidi Samia ? What a nonsense pumpkin
Huyu fisadi aliyejitwalia nafasi ya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani kumbe ana mazuri, ni yapi hayo?!!!Najua Ndugai amewakera wengi, lakini kwa yale mazuri machache aliyoyatenda, yatoshe kupata msamaha wa mabaya aliyoyatenda.
Mkuu, unahatari na nusu!Hakuna kitu kama hicho! Aje aombe msamaha mwenyewe! Jobo ni jeuri na ana kiburi!
Unakumbuka alimcharaza mboko za kichwa yule ccm mwenzake kikaoni?
Aliomba radhi? Hakuomba!
Tena sahivi hakiwezi kuomba msamaha kile kipimbi maana lile bichwa lake limeshaanza kuota pembe kisogoni


Kwanini umwombee wewe? Wachezaji Aombe yeye mwenyeweJob Ndugai ni mwanachuo mwenzangu pale UD miaka hiyo.
Mengi yasiyopendeza yamesemwa dhidi yake kwa nafasi aliyo nayo, hasa kwa namna alivyolifuta Bunge na kulifanya kuwa idara ya SerikaliRais kipindi cha uongozi wa Marehemu...
Kabisa.Huyu Ndugai si ni mhifadhi alisoma wildlife management pale Mweka.
Hana hata mojaTueleze mambo walau mawili mazuri aliyowahi kuyatenda dungai toka awe speaker
Na atamfuata soonWakati wa Ujamaa kuna watu walikunywa maji ya bendera, enzi za Magufuli Ndungai alikunywa maji ya Chato