Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,350
😂😂😂😂Na atamfuata soon
😂😂😂😂Na atamfuata soon
Lissu kulipwa ni kwa hisani ya Ndugai na siyo haki?Mambo mengine yanasameheka ila amuombe Lissu msamaha na amlipe haki zake kama zilivyo kwa mujibu wa sheria na kanuni.
Nimesema ampe haki yake.Lissu kulipwa ni kwa hisani ya Ndugai na siyo haki?
OkeyNimesema ampe haki yake.
Tutamsamehe kama sheria ya kinga walizojiwekea itapelekwa bungeni na kuondolewa kinga hizo.Tutamsamehe kwa masharti kuwa awezekufufua mjadala wa katiba pendekezwa ya Jaji warioba,aisimamie tupate katiba mpya tuondokane na uwezekano wa kupitia tena kipindi kigumu kama kilichopita hivi karibuni.
Huyu ni wa S. GANGShirikisha ubongo wako ndugu,mama alikuwa msaidizi wa mwendazake ilihali dungai alikuwa mkuu wa Mhimili Kama alivokuwa magu
Nadhani ni Ndugai mwenyewe anaomba msamaha kiainaAmekutuma? Alishalikoroga hana budi kulinywa mwenyewe!


Unamtetea Ndugai au ndugu yako?Job Ndugai ni mwanachuo mwenzangu pale UD miaka hiyo.
Mengi yasiyopendeza yamesemwa dhidi yake kwa nafasi aliyo nayo, hasa kwa namna alivyolifuta Bunge na kulifanya kuwa idara ya SerikaliRais kipindi cha uongozi wa Marehemu
Hadi anapata 'stress' msongo wa mawazoKuna siku atalazimika kunena kwa kinywa chake maana mzigo alioubeba ni mkubwa mno.
Ndugai kuna jema lipi amefanya akiwa Spika?Job Ndugai ni mwanachuo mwenzangu pale UD miaka hiyo.
Mengi yasiyopendeza yamesemwa dhidi yake kwa nafasi aliyo nayo, hasa kwa namna alivyolifuta Bunge na kulifanya kuwa idara ya SerikaliRais kipindi cha uongozi wa Marehemu
Bams ni moja kati ya watu nawakubuli hapa jukwaani kwamuda mrefu kutokana na ushawishi upeo wake Misimamo na uzalendo kwa nchi yetu, Leo umekuja kivingine nashindwa naandika na kufuta Ngoja nigonge kvant nitarudi midamidaJob Ndugai ni mwanachuo mwenzangu pale UD miaka hiyo.
Mengi yasiyopendeza yamesemwa dhidi yake kwa nafasi aliyo nayo, hasa kwa namna alivyolifuta Bunge na kulifanya kuwa idara ya SerikaliRais kipindi cha uongozi wa Marehemu...
Nami nasubiri jibu la swali hiliTueleze mambo walau mawili mazuri aliyowahi kuyatenda dungai toka awe speaker
Kwani kabla ilikuwajeMmerudi enzi za business as usual,kuwadanganya watu tu ili muibe,misemo yenu ya kula na kipofu mmeanza kuongea sasa
Ndugai anaongoza Muhimili kama alivyokuwa jiwe manake alikuwa na uwezo wakukataa maagizo yakipuuzi ya jiwe maana Spika hateuliwi na raisKati ya Mimi na ww wa kushirikisha ubongo ni Nani we kilaza , Kati ya ndugai na mama Samia Nani alikuwa boss kwa mwenzake...ni mpuuzi Tu anayeweza kumlaumu ndugai alaf ukamwachia Samia ,na hili hata Kigogo analisemea
Mzee sina hakika kama huu ubishi unakusaidia chochote!Ndungai alikuwa na nguvu kumzidi Samia ? What a nonsense pumpkin