Alisoma UD. Mwaka 1989 - 1993. BSc - Botany. Tulikuwa tunakutana kwenye soma la Development Studies (DS). Mwaka huo huo pia alikuwepo Prof. Bana, yeye science ilimshinda, akaamua kuifanya DS kama major subject, maana hakuna aliyekuwa anafail DS.Kumbe alisoma UD. Mwaka gani na kozi gani?
Wewe ni fasiliteta wa kitu gani kwa akili hizi?Mmerudi enzi za business as usual,kuwadanganya watu tu ili muibe,misemo yenu ya kula na kipofu mmeanza kuongea sasa
Ndungai alikuwa na nguvu kumzidi Samia ? What a nonsense pumpkinUnaona Sasa ulivo ng'ombe? Mama alikuwa mkuu wa Mhimili? Au hata hujui maana ya Mhimili.Ndugai alikuwa na nguvu Kama Angekuwa na akili sema akili zake ni Kama zako tu
Katiba pendekezwa hiyo ni katiba ya CCM, ni tofauti na Rasimu ya wananchi chini ya Mwenyekiti Jaji Warioba maarufu kama Katiba ya Warioba. Hiyo pendekezwa ilijadiliwa na wajumbe wa CCM baada ya wale wa upinzani a.k.a UKAWA kutoelewana na mjadala uliokua unaendelea baada ya hoja za msingi kutupwa.Tutamsamehe kwa masharti kuwa awezekufufua mjadala wa katiba pendekezwa ya Jaji warioba,aisimamie tupate katiba mpya tuondokane na uwezekano wa kupitia tena kipindi kigumu kama kilichopita hivi karibuni.
Huyu Ndugai si ni mhifadhi alisoma wildlife management pale Mweka.Binafsi nakusehe wewe kwa makosa mawili.
1. Kukubali kuwa collegemate naye
2. Kujaribu kumwombea msamaha mtu ambaye bado hajui kosa lake. Badala ya kumpigia na kumkanya, unatumia mda mrefu kumwombea msamaha.
Ila nakusamehe bure
Mwendazake aliwaroga nyinyiMmerudi enzi za business as usual,kuwadanganya watu tu ili muibe,misemo yenu ya kula na kipofu mmeanza kuongea sasa
Anajichekesha tu bungeni.Kwani ndugai mwenyewe anasemaje!
Mkuu...naomba nikuvunjie heshima kidogo. Ukiwa jukwaa la siasa, akili yako huwa kubwa sanaaa, sanaa...ila nikikukuta kule celebrity forum, huwa sielewi akili yako unaiachaga wapi.Tukitaka kuwalaumu watenda kazi waliopo, tuanze na Raisi mwenyewe mana alikuwa ofisi moja na mheshimiwa ambaye tunamtupia lawama Kwa mambo mengi ....Kwa nini awaone wenzake hawafai...