Wanateteana hao balaaTukiacha ushabiki bembeni msingwa na makonda na waziri aliyepita wa michezo walitakiwa wawe ndani kwa ubadhirifu wa pesa za umma..
Wanateteana hao balaaTukiacha ushabiki bembeni msingwa na makonda na waziri aliyepita wa michezo walitakiwa wawe ndani kwa ubadhirifu wa pesa za umma..
Tena kile ndio kichaka cha kupigia hela, uwanja gani kila siku unakarabatiwa tu?Hata Mkapa ukarabati wake kuna michezo imechezwa.
Ngoja wapo wana pikadata vizuri waje watudanganye kama siku zoteHarafu majibu wanayotoa ni mepesi sana kwenye maswali ya msingi
Ona hili zezeta, Yaani unafanya maandalizi ya Afcon inayotokea mara moja kwa miaka hamsini kwa hayo mabilioni badala ya kuwaandalia mazingura mazuri vijana huko mikoani ili waonekane. KMC hadhi yake ni ya kimataifa ila daraja lake linaishia mechi zaaandalizi ikiboreshwa kidogo tu inakuwa na hadhi ya kuhost Hadi robo fainaliMada za wanavijiji mliotok maporini huko mkiona azam au kmc complex mnaona ndiom uwanja wa kisasa
hivi mnajua hadhi ya uwanja wa kuandaa mashindano ya kimataifa kama CAF ?
Mnadhani kombe la mbuzi au ndondo cup kama mnavyofanya huko maporini
Halafu wewe mtoa mada unatokea vijiji vya wapi?
Umeleta ujinga gani wa kupigia dili za viingilio, huu ushamba umewazidi sasa
Yaani hutu tuviwanja nyie walugaluga ndio mnafikiri mtapewa muandae mashindano ya kimataifa ?
View attachment 3705327
View attachment 3705328
umejileta mbulula wa vijijiniOna hili zezeta, Yaani unafanya maandalizi ya Afcon inayotokea mara moja kwa miaka hamsini kwa hayo mabilioni badala ya kuwaandalia mazingura mazuri vijana huko mikoani ili waonekane. KMC hadhi yake ni ya kimataifa ila daraja lake linaishia mechi zaaandalizi ikiboreshwa kidogo tu inakuwa na hadhi ya kuhost Hadi robo fainali
Sjui hata umeandika ujinga gani, uchumi wetu ni mdogo ila locha ya udogo huo Bado hatuutumii kunufaisha umma
Kwa hiyo akili zako zimeishia hapo, unajua uwekezaji wa Morocco ulikuwa kiasi gani, unajua GDP Yao ni kiasi gani ukilinganisha na sisi?? Hao wako kwenye mpango wa kuandaa kombe la dunia uchumi wao unaruhusu hawana shida ya maji, bandari duni, madawa mahospitalini, hawana njaa kama wewe hao sio walala hoi kama wewe hao sio developing country tayari ni developed. Hiyo Hela uliyozungushia ni ya maandalizi ya world cup ambayo hata ipite miaka 100 hatuwezi. Sisi ni makapuku tusilazimishe ****** kula muwaumejileta mbulula wa vijijini
unaelewa maana ya mashindano ya kimataifa zwazwa wewe
unadhani maharage cup ?
Unajua hela ambayo inaingizwa kwa nchi waandalizi kuaandaa haya mashindano au unadhani zinavyoshindana kupewa nafasi ya kuuanda ni kuuza sura? kweli wewe ni mlugaluga wa vjijijni
Hela itakayopatikana kwenye uchumi wa nchi ni inazidi mara kumi ya gharama za viwanja vyote kilaza wewe,
Nyinyi washamba wa vijijini mnatakiwa mbaki hukohuko maporini, sio mnashoboka na vitu hata hamna ufahamu navyo
View attachment 3705336
Wewe mshamba wa vijijiniKwa hiyo akili zako zimeishia hapo, unajua uwekezaji wa Morocco ulikuwa kiasi gani, unajua GDP Yao ni kiasi gani ukilinganisha na sisi?? Hao wako kwenye mpango wa kuandaa kombe la dunia uchumi wao unaruhusu hawana shida ya maji, bandari duni, madawa mahospitalini, hawana njaa kama wewe hao sio walala hoi kama wewe hao sio developing country tayari ni developed. Hiyo Hela uliyozungushia ni ya maandalizi ya world cup ambayo hata ipite miaka 100 hatuwezi. Sisi ni makapuku tusilazimishe ****** kula muwa