Namwelewa Baba Levo kwenye issue ya uwanja

GwajiBoy

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2025
Posts
238
Reaction score
484
Habari wakuu
Leo kwenye pitapita zangu kwenye social media nimekutana na nondo za mbunge baba Levo juu ya uwanja wa Arusha uliopewa jina la mwanasiasa.

Kwenye hoja zake anadai uwanja umetumia gharama kubwa sana tofauti na uhalisia huku akilinganisha na bajeti iliyotumika kujenga uwanja wa Mkapa na alivyo na akili akalijibu swali ambao alitarajia 'mfumuko wa bei'. Hicho alifahamu kuwa ni kichaka ambacho Msigwa na Bashite wangejifichia na bahati nzuri akawatajia mfano wa bidhaa zilizopanda be kama Cement, nondo, bati n.k. kati ya vifaa vyote hakuna ambacho kimepanda Bei zaidi ya mara tatu ya Bei za 2006 ila uwanja umetumia gharama zaidi ya mara Tano ya bajeti ya Mkapa ilihali uwanja wa Mkapa unabeba watu 60,000 na Arusha 30,000.

Nimejaribu kufanya mahesabu kidogo yamekuwa kama ifuatavyo,

Gharama ya ujenzi = TSh bilioni 338
•Uwezo wa uwanja = viti 30,000
•Watazamaji wastani kwa mechi = 20,000
•Kiingilio wastani = TSh 10,000

Hivyo:
✅ Kila siti imegharimu takribani TSh milioni 11.27

Mapato ya mechi moja
Watazamaji = 20,000
Kiingilio = TSh 10,000
✅ Mapato ya mechi moja = TSh milioni 200
3. Itahitaji mechi ngapi kufikisha bilioni 338?
✅ Itahitajika mechi 1,690 kufikisha TSh bilioni 338.

Kama zitachezwa mechi 30 kwa mwaka maana yake itachukua miaka 56 kurudisha fedha za ujenzi, hapo sijaweka fedha za ukarabati

Yaani 2083 ndio tytaanza kupata chochote kama taifa kutokana na uwekezaji huo (hapo nimezungumzia kifedha, japo kuna faida nje ya fedha)

Baba Levo ameshauri kama kungekuwa na uwezekano kungekengwa viwanja kama vya azam complex hata kumi kwa mikoa kumi, kwa bajeti ya billion 33 zingetosha na zingetoa fursa kwa watu wengi zaidi.

N.B. Uwanja wa KMC complex umejengwa 2024 kwa bajeti ya Bil 11.

Tukiacha ushabiki bembeni msingwa na makonda na waziri aliyepita wa michezo walitakiwa wawe ndani kwa ubadhirifu wa pesa za umma..
 
Kuna mtu anatafutwa. Mzee wa trab and trat hahusiki kweli na kuchomekea mambo?

Pamoja na yote kama hela zimetafunwa hatua zichukuliwe
 
Nilitegemea ile shutma itakuja na majibu magumu nikashangaa msemaji wa Serikali akajibu kirahisi sana alipotembelea ule uwanja na kuwaona Watanzania ni wapumbavu..
 
Baba Levo elimu yake nadhani ni la saba ila wale wasiotaka darasa la saba wasiwe wabunge watuonyeshe udhaifu wao bungeni.
Watu washageuza bunge kuwa ajira.
 
Back
Top Bottom