Namwambia Mungu

Mkuu Slow Down Kidogo Basi...!!!
 
Mkuu Hii nipoint ya Muhimu Sana Hata Mimi kuhama mazingira kumenisaidia Sana Kutambua Thamani yangu...!!! But Tutashinda
 
Feeling sorry for you

Maisha yana Milima na mabonde kila mtu na yake kwa wakati wake

Kikubwa kila mtu mzigo wake anauwezo wa kuubeba

Unaweza kuutua ukashangaa umewezaje.

MUNGU AKUSAIDIE
 
Feeling sorry for you

Maisha yana Milima na mabonde kila mtu na yake kwa wakati wake

Kikubwa kila mtu mzigo wake anauwezo wa kuubeba

Unaweza kuutua ukashangaa umewezaje.

MUNGU AKUSAIDIE
Kweli Madame
 
Inaonekana Mungu anajua wajibu wake kwako, yote hayo yaliyokutokea yameandikwa ili kudhihirisha utukufu wake. Ila pambana na tafuta ushauri kwa Jr Mshana.
Huyu Jr Mshana si mzee wa tunguli huyo?
 

Maneno yana nguvu sana
Sala zako jifunze kunena maneno chanya tu
Hii sala umechanganya maneno hasi na chanya so zero effect
Umeanza na kusema current situation you’re a broke guy hii sio sawa
Unatakiwa ukiri yale unayotaka kuwa kama ndio hali halisi ya sasa
 
Amen tusikate tamaa lipo tumaini
 
Bwana atatenda amesema njooni tusemezane
 
Shida Nini
Tafuta kazi ufanye km UNATAKA pesa...Mungu muombe akupeleke mbinguni basiii
 
Yeah it is real working ...
With time kila kitu kitabakia historia ...
Mtoto wa mwenzako asikufanye ukaiona dunia ni chungu
Kweli kabisa... Huwa Nasema Ukiona Mtu kakukataa ujue kaamua siyo Bahati Mbaya...!! Hivyo huwezi kumbembeleza akakuelewa. Japo inaumiza Sana Kama ulimpenda Mtu kwa Dhati..But with time tunapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…