Namuwaza mpaka nalia

Namuwaza mpaka nalia

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,461
Reaction score
2,320
Habari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.
 
Pole mahusiano ndivyo huanza si kwako tu wapo wengi ila tumia muda mwingi kwenye shughuri zako na uwe bize sana nazo inasidia mpenzi wako kuchukua nafasi ndogo kichwani
Asante
 
Habari Jamiiforum?
Nisaidieni labda mimi ni mgeni wa haya mambo?
Nilikua nikitafuta mahusiano lakini mahusiano yatakayokua na afya sasa nimepata demu lakini mimi namuwaza sana mpaka nalia sjui nifanyeje? Nachoka kabisa.
Nimeipenda hio avatar ako........pole lkn jikontrol kijana
LOVE IS DANGEROUS
LOVE IS BLIND
 
  • Thanks
Reactions: M45
Back
Top Bottom