Ekumbi
Member
- Oct 23, 2021
- 26
- 40
Nikisema bado umefungwa na vyeti nitaomba tu unisamehe,
Bro maisha hayana kusubili ajora rasmi inawezekana ukawa unapoteza muda kutafuta kazi
Kaa tafakari tafuta ajira mbadala vyeti weka pembeni kwanza utakuja kunishukuru baadae
Usiogope maisha , chukua chombo weka ndani, Kama kakuvumilia kwa wakati huu hata mkiwa pamoja atakuvumilia tu
Usiogope maisha. Cha msingi tafuta ajira mbadala I mean jiajiri.
Afu nikwambie kitu ukioa Kuna matumizi mengi yanapungua
Mfano ilikuwa mwende guest tsh 15k na kuendelea zaidi ya Mara 3 na kuendelea kwa mwezi lakini sasa show zote mjengoni , hiyo hela unafanyia matumizi mengine

Na hilo swali likiingia kichwani wewe picha unayopiga ni mahari na harusi gharama zake huku ukicheki muhuni huenda hata jana hujala mjibu hilo swali kulingana na hali yako na umweleze mipango yako kufikia hilo lengo kwa hiyo hata kama utakua unakwama anakua anaelewa kila kitu! Hivyo hivyo huwa wananuna ukijibu mambo bado ila kichwani huwa wanaelewa kabisa hali halisi na demu kama anakuelewa mradi vitu vidogo vidogo muhuni unasolve atasubiri tu !! 