Namuonea huruma huyu binti

Namuonea huruma huyu binti

KAA CHINI JIFANYIE TATHMINI PENGINE UMEATHIRIKA KISAIKOLOJIA, KAMA BINTI WA WATU KAKAA NA WEWE MIAKA MIWILI NA UNAONA HAJAWAHI KUKUSALITI MZEE HUYO NDO WA KWAKO, UNAONEKANA WEWE NDO UNA TATIZO NA PENGINE MUNGU AKUFUNGULII RIZKI YA AJIRA KWAKUA UKIIPATA TU HUYO MUIRAQ UTAMTEMA, KAMA HAUMUHITAJI MUWEKE WAZI SIO USEME HAUNA KAZI UJIFANYE UNAMUONEA HURUMA KUMBE USHAMCHOKA.
Ni tatizo la vijana wengi, tumefeli sisi wa kubwa zao kuwapa namna ya kujiamini

Inasikitisha sana kuona vijana wengi hawana confidence

Lawama zije kwetu tu
 
Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.

Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.

Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.

Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Kataa ndoa,
 
Hujampenda usingewaza kumua ha kwa sababu hyo
 
Njoo veta pata ujuzi uupendao anzia hapo then fungua enterprise,Anza hata na ufundi bomba,then jitolee pale Dawasco from their ukiwa unafanya na Kazi zako binfsi,miradi ya maji itakuchukua,, commit yourself to God and everything will be like a b,c ....
Ushauri mzuri huu..
Kuna kozi nyingi VETA, huwezi kukosa pale, pitia uone unayoweza.
Natafuta Ajira
 
Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.

Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.

Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.

Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Nipe namba yake mkuu pm,
 
Back
Top Bottom