Namuona Mchengerwa akifika mbali sana kiuongozi kutokana na uchapa kazi wake

Umemsifu samia mpaka umechoka uteuzi umebuma umeamua upitie kwa mkwewe
 
Ukitaka kujua unaandika upuuzi angalia karibu watu wote wanakukataa wew hujishtukii tuuu?? Kwanza umeulizwa una ulemavu wowt??
Kama katika maisha yako utafanya vitu na kutegemea kuungwa mkono kwa kila kitu, kwa hakika nakuhakikishia kuwa utaishia kupata maradhi ya moyo tu.lakini pia ukweli huwa hauangalii watu wangapi wanaunga mkono au kupinga jambo fulani ukweli ni ukweli tu hata ukipingwa na watu wengi lakini mwisho wa siku lazima ushinde tu hata kama ni kwa kuchelewa .Hata Galileo alipingwa na watu wengi sana lakini mwisho wa siku ilikuja kufahamika ya kuwa alikuwa sahihi katika kile alichosimamia na kukiamini japo alipingwa na wengi.
 
Umemsifu samia mpaka umechoka uteuzi umebuma umeamua upitie kwa mkwewe
Hapana mimi sitafuti uteuzi bali siku zote nina kawaida ya kumpongeza mtu anayeonekana kufanya vyema katika majukumu yeka. Nimeandika juu ya watu wengi sana nilioona wanafanya vizuri katika katika majukumu yao na siyo kwamba leo ndio mara ya kwanza kufanya hivyo.
 
Wewe hujielewi wala hujitambui. Jilaani nafsi yako kwa kuwa hivyo ulivyo.

Ungekuwa na akili timamu, japo ya kiwango cha wastani, kuna siku ungewakosoa viongozi wa hovyo. Lakini hilo halitatokea kwa kuwa umeamua kuwa funza, ukitegemea kuna siku utafanywa kuwa mwanadamu kwa kupitia unafiki wa sifa unaoufanya.
 
Kwanini unilazimishe kuona namna unavyoona wewe kwa mtizamo wako na upeo wako?
 
Hapana mimi sitafuti uteuzi bali siku zote nina kawaida ya kumpongeza mtu anayeonekana kufanya vyema katika majukumu yeka. Nimeandika juu ya watu wengi sana nilioona wanafanya vizuri katika katika majukumu yao na siyo kwamba leo ndio mara ya kwanza kufanya hivyo.
keep going. they will remember you, ukizingatia kuwa teuzi zote tangu awamu ya tano iingie madarakani hazizingatii merit bali uchawa kama unaofanya
 
keep going. they will remember you, ukizingatia kuwa teuzi zote tangu awamu ya tano iingie madarakani hazizingatii merit bali uchawa kama unaofanya
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi na wala siandiki kwa ajili ya kusaka uteuzi au fadhila ya aina yoyote ile.
 
We jamaa utakuwa na shida,
Ila nakukubali, unalenga mle mle! Katika kusifia,huyo jamaa ni mkwe wa rais, ni part ya "first family" Personally hana uchapakazi, wowote zaidi ya kuwa na baby face, kucheka Cheka, kila wakati anatabasamu! Ndio wale wale kama Jafo, "you find them talking too much, but say nothing"
Taja kitu kimoja alichofanya, mlingnishe na RC wa Njombe
 
Mchengerwa ni namba nyingine hiyo,Huyo ni jembe kweli kweli .Amepiga kazi alipokuwa utumishi mpaka siku anahamishwa wizara akaacha na kusababisha watumishi kububujikwa na machozi ,kwa kuwa ni wakati wake watumishi walipata haki na stahiki zao,madai na kero zao kusikilizwa kwa haraka pasipo usumbufu. Watumishi kulipwa madai yao kwa haraka.

Akaenda michezo nako akachapa kazi kwa kwenda mbele mpaka Taifa likashangaa, maana ni wakati wake ambapo alileta hamasa kubwa sana katika michezo,kwa kuwa ni wakati wake ambapo serikali ikawa karibu sana na club zetu pamoja na Timu yetu ya Taifa. Ni mbegu na alama alizoacha pale wizarani unaona mpaka leo tunafanya vizuri kimichezo na sasa ligi yetu ni ya Tano kwa ubora barani Afrika,.

Amekwenda maliasili na utalii nako amefanya kazi kubwa sana iliyochochea mafuriko ya watalii kumiminika kuja Tanzania na hivyo kutusaidia katika kupata fedha zinazotokana na utalii,kutoa fursa kwa makampuni ya kitalii nchini pamoja na ajira kwa vijana wanaowapokea watalii na kuwaongoza,lakini pia hali hii ilichochea biashara hasa upande wa wale waliowekeza katika mahoteli makubwa n.k
 
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi na wala siandiki kwa ajili ya kusaka uteuzi au fadhila ya aina yoyote ile.
Unaweza ukakataa lakini ukweli ndiyo huo, kwa sababu kwanza unaweka namba zako za simu ilhali jf hata id zetu ni feki na, pili si ajabu hata id unayotumia ni jina lako halisi. Na hivyo hata ukiteuliwa utakuwa liability tu kwa serikali na chama chako. Hiyo ni ishara kuwa huna kifua cha kutunza siri.....sahau kuteuliwa. Bila shaka umeshagundua hilo ndiyo sababu unakataa kuwa lengo lako si kutaka uteuzi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuseme ukweli tu ndugu zangu kuwa Mchengerwa ni mchapa kazi sana, Ni Jembe kwelikweli, Ni hadhina kwa Taifa ,Ni Nyota inayong'aa kwa kasi, Ni kiongozi mwenye kiu ya kutaka kuona wananchi wanapata huduma iliyo bora,wanapata haki,wanatendewa haki, wanasikilizwa,wanapokewa vizuri maofisini na kuhudumiwa vizurii sana. Ukiangalia ni kiongozi ambaye amefanya vizuri na kuacha alama katika kila wizara aliyopita .sote tunakumbuka namna watumishi wa umma walivyosikitika alipo hamishwa kutoka Utumishi.

Ni kiongozi mwenye ari ya kazi na anayejituma sana,ni kiongozi ambaye hasubiri kusukumwa au kukumbushwa majukumu na wajibu wake na Ni kiongozi jasiri na anayejiamini sana.Namuona kama hadhina kwa Taifa letu katika masuala ya uongozi na Namuona akifika mbali sana kiuongozi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hongera kwa kukumbuka kuandika namba ya simu. Hivi "Hadhina" ndiyo takataka gani?
 
Unaweza ukakataa lakini ukweli ndiyo huo, kwa sababu kwanza unaweka namba zako za simu ilhali jf hata id zetu ni feki na, pili si ajabu hata id unayotumia ni jina lako halisi. Na hivyo hata ukiteuliwa utakuwa liability tu kwa serikali na chama chako. Hiyo ni ishara kuwa huna kifua cha kutunza siri.....sahau kuteuliwa. Bila shaka umeshagundua hilo ndiyo sababu unakataa kuwa lengo lako si kutaka uteuzi.
Nashukuru sana kwa mchango wako lakini mimi siandiki hapa kwa ajili ya kutafuta uteuzi ndugu yangu.
 
Huwezi ukaelewa uchapa kazi wa mtu na mchango wake kwa Taifa kwa kuwa akili yako imepofuka
Kwa hati hiyo mbovu hata credibility ya ulichokiandika kinafikirisha. Na nani alikwambia ukiwasilisha mada unatakiwa kuweka namba ya simu? Una madhumuni gani?
 
Back
Top Bottom