Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 18,081
- 12,238
- Thread starter
- #41
Narudia tena kukwambia kuwa acha kumchafua mh Rais wetu. Acha kuandika vitu ambavyo huna hata ushahidi navyo zaidi ya kupotosha tu.Huyo bibi angekuwa mzalendo angechukua hongo DpWorld? Mbona hajibu hoja za Bandari kama angekuwa mzalendo wa kweli! Amebakia kuwatumia polisi kukamata wale wote wanaompinga!
Mzalendo wa kweli asingeiba mali za nchi na kuzificha uarabuni.
Kama nilikwambia wewe ni kipofu huoni utaendelea kubwabwaja tu.