Namuomba Mungu anipe uzima nishuhudie huyo anayedanganya wananchi mikoani kuwa atazuia uchaguzi Oktoba, 2025

Namuomba Mungu anipe uzima nishuhudie huyo anayedanganya wananchi mikoani kuwa atazuia uchaguzi Oktoba, 2025

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Mpaka sasa sioni dalili za kuzuia uchaguzi zaidi ya kupiga porojo kwa wananchi na kuzawadiwa samaki, wakati wa Magufuli wananchi walijaa kama hivyo lakini mwisho wa siku ulishindwa uchaguzi na ukasaidiwa na mabalozi kukimbia nchi.

Kwenye mikutano yako unatukana wateule wa Rais unawaita wana laana, unaita watu washenzi, unaita watu wapumbavu, sasa sio kila mtu ni mvumilivu wa resilience, kwani we ukiongea hueleweki hadi utukane watu?

Wengine ndani ya chama wanaona kabisa ubunge mweupeee kwao, yaani kutangaza hakuna uchaguzi ni kuwanyima riziki, wewe Lissu unaishi kwa hisani za watu na michango ya wanachama ya tone tone, wengine tunataka ubunge wewe unaturudisha nyuma, we vipi bana.

Heche hawezi kuwa mbunge kwa sababu Waitara ndio kamfundisha siasa, anajua hawezi kushinda ubunge, Lema ndio kabisaaa wababe wamemkabia kwa juu, leo anaongea na wananchi wa Arusha hata anachokiongea hakieleweki, idadi ya watu ziro.

Tafadhali Lissu, wengine tunataka ubunge na udiwani tukale maisha we nenda kale Ubelgiji au Sweden aliko mkeo, ebo.
 
Matatizo mengi ya mwanadamu yalianzza kukoma pale baadhi yao walipoanza kuangalia issues na kuzijadili badala ya kuangalia watu binafsi.
Mbaya zaidi i wale wanaowaza vyeo kama ustawi wa maisha. Kwa hakika ni wabaya zaidi. TL anaweza kuwa 'tatizo' lakini mleta hoja huenda ukawa tatizo zaidi!
 
Huyu ni mpuuzi sana! Kwani kulikuwa na uchaguzi? Yule chaaki jiwe si alitumia mtutu wa bunduki? Rubbish!
 
Back
Top Bottom