Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
u sound like u are in love with her.....
Mcheche wako tu na kama una tabia ya kutuma hoja za kukurupuka pasipo utafiti na msimamo wenye mashiko. Mbona wengi wanaandika na anawapongeza, ukilikoroga sio Lizy peke yake wapo wengi watakukimbiza. Tena wengine hadi hutoka mapovu kwa usongo.Jipange tu ndugu akikukurupukia hata naye atatulizwa. Hadithi njoo...leta vyombo tugonge!Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
Kweli, hilo nalo NENO. Maamuzi Magumu nyuma ya Pazia..hahahah!Perfect and this is the truth behind
Kweli, hilo nalo NENO. Maamuzi Magumu nyuma ya Pazia..hahahah!
bway bway teh teh fimbo ya mbali aina shabahau sound like u are in love with her.....
ujaona mbigiriSijaona kitu humu,upupu tu!
Mi namlike sana atakuwa matron wangu siku ya kitchen pati maana mume mwenyewe atatoka humu humu jf na yeye ndo anajua jinsi ya kuishi nao
Hahahh......nyoka na fimbo haviuwi kwa mbali.bway bway teh teh fimbo ya mbali aina shabaha
unariserve za nini?no comment na hapa nareserve my comments
mhh ..hatari!Mi yeye ndo anajua jinsi ya kuishi nao
Kupita kimyakimya utasikika pia sio wote tupige marimba.Sijaona kitu humu,upupu tu!
Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
Hata mimi namshangaa,kwa nini uogope changamoto?unaogopa kivuli? labda uniambie mnajuana....