Namuelewa sana huyu mdada

Ummy na Angel..hawa hata kuwafokea wanapolegalega katika majukumu yao unawezajikuta umesahau..!!
 
Hapo mtaani kwako hakuna hata aliyemzidi,we ni mvivu wa kuota! mi namuota yule michelle kila siku
 
Hahaha. .ndoto yako kiboko
 
Haya ni machaguo ya mzee JMK awamu iliyopita
 
Uambaji wa Mungu[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…