Pesa anazoYaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Wewe unazo.? Au unauza k kwa hao wanaume. Mapenzi sio fursa kwanzaWa size yake yupi? Mwanaume kutokua na hela ni aibu. Wanaume wengine wanafanya kazi za ajabu ili mradi awe na kitu mfukoni. Mwanaume kusema huna hela kila wakati haipendezi
Atakuelewa sasaShida ya wanawake wa kibongo mnawaza pesa tu mupewe nyie.
Kuna muda mume unamtengeneza wewe. Kama unampenda na una nafasi ya kipesa kama ulivyosema. Usimpe hela ya kula, Focus kumtengeneza mume wa maisha yenu ya baadae. Mtengenezee biashara ya kueleweka,mdanganye hii biashara nimekopa hela bank tutairudisha kwa muda fulani. Hapo ni kumpima kama anaweza kuiendeleza hiyo biashara.
Au kama yeye ana uwezo wa kufanya biashara fulani,mpe mtaji mwambie nimekopa tutairudisha. Then aangalia hiyo biashara inaendaje. Kama inatembea,ongeza nguvu hapo.
Maisha yanaanza kwa mtindo huo. WASICHANA JITAHIDINI HATA NYIE KUWAANDAA WAUME ZENU WA BAADAE,MSIKAZANIE NA KUWAZA KUISHIA KWENYE MAPENZI TU. MAISHA YA KESHO NI VILE UNAVYOYAANDAA WEWE LEO.
Huyo hakupendi... hata mimi wanawake ambao siwapendi huwa napenda kuwaaminisha kuwa mimi ni hoi bin dhoofu...Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Kumbe unapenda pesa, basi kajiuze, maana hufai kuolewa. Kiapo cha ndoa kinasema mtavumiliana kwa shida na raha, sasa wewe naona kujiuza/umalaya ndo utakufaa, wacha kuvamia fani za watu (mahusiano ya kimapenzi) huziwezi.Walifirisika nikawaacha
Wengine ni malaya malaya tu, acheni kujiuza wajameni mtapata laana.Wewe unazo.? Au unauza k kwa hao wanaume. Mapenzi sio fursa kwanza
Ndio maana nikamuuliza niliona na vi element vya umalayaWengine ni malaya malaya tu, acheni kujiuza wajameni mtapata laana.
PsychoWewe unazo.? Au unauza k kwa hao wanaume. Mapenzi sio fursa kwanza
My sisters, mahusiano sio ajira kwamba mtalipwa mshahara.Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Wenyewe ni mbele tuAtakuelewa sasa
Ndio nazitafuta nikuoe wewe Mrs abdulIla mwanaume asiye na hela ni mzigo. Kua na hela haimaanishi uwe nazo kama za gsm au bakhresa.
Alipie tangazo tu [emoji3]
Kulanina 😂😂Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo