Namuacha shemeji yenu!

Wanawake huwa wanawaza mapenzi na kupokea pesa tu. Ndiyo maana ukiangalia sasa ndoa zimekuwa ngumu sana.
Sisi wanaume huwa tofauti sana, unaweza kuishi hata mwanamke ameishia darasa la 7 au ana tabia zisizoeleweka lkn ukamtengeneza akawa mke bora.
Kabisa kabisa. Sasa wenyewe wana-focus vitu vingine tu. Tena niwaambie wanawake,mume wa kumtengeneza anaweza akawa bora sana ktk maisha yote. Ksbb mnajikuta mna historia
 
Hapana umekosea kuna kitu kinaitwa kuchoka ni hilo tu unapigwa miti kioa daily na umekuja mwenyewe nanauli yako unaondoka nanauli yako kila kitu unafanya mwenyewe . Hii ni mbaya sana atleast akununulie viepe yaani ukienda kwake anakupiga miti tu hajui chakula wala maji hata sabuni anakuambia siukaoge kwenu sina hela . Maisha sio hivyo maisha nikujaliana bhana
 
Yule mume wako dereva asiye na hela, ambaye ulimfungulia Uzi, naye umeachana naye lini? Mbona una wanaume wengi?

Jibu ni kwanini umeachana na wenye hela?
 
Yaani mabwana zako uliyowqsema umeachana nao wenye hela, kwanini uliachana nao? Hao wawili, yule dereva, na huyu handsome boy, bado aliyekutoa bikra, bado atakayekuoa, kwanini una wanaume wengi?
 
Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wanaume ma hb wana kalaana kakukosa mtonyo...Neema iwaangukie
 
Hii taarifa hebu muelezee BABA ako

Akikupa jibu basi hilo ndio jibu kamili.
 
Akipata tu pesa ataku damp huko,chukua hatua mapema mkuu
 
Yule mume wako dereva asiye na hela, ambaye ulimfungulia Uzi, naye umeachana naye lini? Mbona una wanaume wengi?

Jibu ni kwanini umeachana na wenye hela?
Walifirisika nikawaacha
 
Yaani mabwana zako uliyowqsema umeachana nao wenye hela, kwanini uliachana nao? Hao wawili, yule dereva, na huyu handsome boy, bado aliyekutoa bikra, bado atakayekuoa, kwanini una wanaume wengi?
Tafuteni pesa acheni maswali maswali humu jf mwanaume asiye na pesa ni mzigo kwa mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…