Namtamani bosi wangu

Dooh! Kazi yenyewe ya kujishikiza halafu bado unataka mengine. Lol.
 
Hii sikatai ni kweli kabisa,sasa huyo kawaka tamaa anataka kaz na mbunye
Cha kushangaza unaweza kuta hata huyo HR anawaka tamaa juu ya huyo kibarua wake sema tu anaficha kama ilivyo kawaida yenu wanawake.

Wakati wa ujana niliwahi kufanya kazi sehemu fulani miaka mitatu. Aliyekuwa HR wetu dada wa makamo mrembo sana aliyejiheshimu vilivyo alikuja kunielezea hisia zake za kimapenzi kwangu baada ya mimi kuondoka pale, nikamwambia mbona hukuniambia? Akasema ilikuwa ni ngumu sana kwa namna nilikuwa nampa heshima ya hali ya juu. Hii ilikuwa ni kwa njia ya mawasiliano ya simu.

Nilifikiria sana kwasababu kuna wakati hata mimi nilikuwa nikimtamani lakini katu katu sikuwahi kumwambia wala kuonesha ishara yyt ya kimapenzi juu yake kwa kipindi chote cha miaka mitatu niliyokuwa pale.

Yaliyojiri baada ya mawasiliano ni historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfanyakazi huyu ndo anatarajiwa kuleta tija kwenye kampuni
 
Hautomuona kazini hivi Karibu,vijana washenzi sana mnataka kuwapanda wake za watu watarajiwa
Alafu unasema unampenda 😅sema umemtamani bhana
 
Huna lolote unataka tu wa kuchuna tafuta pesa zako.siku hivi vijana wa kiume wanadanga kuliko hata wa kike
 
Mwisho wa siku utakosa vyote.
 
Usichezee kazi, katika vitu hutakiwi kufanya mzaha navyo ni kile kinachokupa kula yako.

Mbona wanawake wamejaa sana mkuu, tena siku hizi unatumia nguvu ndogo mno kuwapata.

Usijihusishe na ngono maeneo yafuatayo;
1. Kazini
2. Jirani na nyumbani au mtaani kwako.
3. Kanisani/msikitini.
4. ...
 
usimpige vocal jaribu kumweka karibu, kama yupo interested na wewe utaona na unaweza hata kumpiga mambo bila ya vocal, na ukiona ni kama unalazimisha ukaribu Ila yeye hataki achana Naye. Usijaribu kumpiga mistari
 
Kijana tamaa so nzuri kabsa lakini pia usione vyaelea vimeundwa kuna matajiri kama sisi tunaweka dau jichanganye uone utaliwa kichwa.
 
Acha upumbavu kijana. Ndo maana wanaume ni dhaifu sana siku hizi. Mwanamke kakuzidi hela unabwabwaja. Kama we mwanaume mtokee kweli bila kujali nini kitatokea. Ila we mwenyewe unajua una mapungufu (huna hela mzee baba) ndo maana unaweweseka. Pia achana na wanawake watakumalizia nguvu zako bure. Tafuta hela. Oa mke wako tulia.
 
kwa nini vibarua ndiyo huwa wanakuwa na roho hizi za juu juu makazini?
 
kama umekuta vidume wengine hapo kazini,jenga urafiki nao na anzia huko utapata taarifa zake zote na jinsi alivyo,kwa ulivyomzungumzia wewe hutakuwa wa kwanza kumuelewa kwa hapo kazini. Boss wangu mmoja juzi nimemla kimasihara sana na nimehamia branch nyingine nikamkuta huko na vijana wenzangu kwenye story za hapa na pale muda wa lunch nikachomeka wakatoa formula za kuweza kumla mimi nikaboresha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…