azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 877
- 1,306
Tamaa mbaya
Umemfokea sana. Umefanya vizuri...Ndiyo hawa ambao TUNASEMA AKILI ZAO ZINAWAZA NGONO TU.... BURE KABISA!!!
Unakiri ni kibarua, umeoa una mke; nilitaraji ungeitumia akili yako VIZURI UKAFANYA KAZI KWA BIDII, AKAWEKA AKIBA NA KUIMARISHA UCHUMI WA FAMILIA, WEWE UNAKUJA HAPA UNATAKA MSAADA WA KUSEX NA HR WAKO....
Yaani uko tayari kuweka kibarua rehani na kuhatarisha USTAWI WA FAMILIA YAKO KWA TAMAA AMBAYO MANUFAA YAKE NI YA DAKIKA CHACHE TU!!!!
Kwa hakika una KUCHWA NDANI KOPO KABISA!!!
Kama ingekuwa mimi ndiyo huyu HR ni kuhakikisha ukiisogeza PUA nakulima KALAMU NYEKUNDI tena nakufungulia CHARGE SHEET na kukufukuza kazi kwa fedheha!!!
Na NOTICE juu kwenye MAGAZETI Kuwa FULANI BIN FULANI SII MFANYAKAZI WA TAASISI HII TENA NA TAASISI HAITAHUSIKA NA...... nadhani unaelewa!!!!
Wanaume wa hivi ndiyo wale walioko tayari kuweka REHANI USTAWI WA FAMILIA ZAO KWA AJILI YA NGONO.....
Angalia Uzi wa rikiboy utajifunza mengiWakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa.
Siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.
Wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela