Kweli watu wana usingizihii comment ya 40 na watu hawajaona Kama unataka kujiripua🤣🤣🤣
Wee,sema kweli 😂 😂😂Kweli watu wana usingizihii comment ya 40 na watu hawajaona Kama unataka kujiripua🤣🤣🤣
😂😂afu aje kulialia kuwa amerogwa asifanikiweDooh! Kazi yenyewe ya kuhishikiza halafu bado unataka mengine. Lol.
Acha zinaa kikana, na umrudie Mungu wako.Tofautisha kutamani na kupenda
Cha kushangaza unaweza kuta hata huyo HR anawaka tamaa juu ya huyo kibarua wake sema tu anaficha kama ilivyo kawaida yenu wanawake.Hii sikatai ni kweli kabisa,sasa huyo kawaka tamaa anataka kaz na mbunye
Mfanyakazi huyu ndo anatarajiwa kuleta tija kwenye kampuniWakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa, siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi.kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela
Umeonaeee! 😀😂😂afu aje kulialia kuwa amerogwa asifanikiwe
Watu bado hawajanywa chai kabisa. Hawezi akawa anataka kujiripua alafu wawe kimya🤣🤣🤣Wee,sema kweli 😂 😂😂
Mwisho wa siku utakosa vyote.Wakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa, siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi.kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela
Mkuu huyo kwenye dp ni wewe?
usimpige vocal jaribu kumweka karibu, kama yupo interested na wewe utaona na unaweza hata kumpiga mambo bila ya vocal, na ukiona ni kama unalazimisha ukaribu Ila yeye hataki achana Naye. Usijaribu kumpiga mistariWakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa, siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi.kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela
Acha upumbavu kijana. Ndo maana wanaume ni dhaifu sana siku hizi. Mwanamke kakuzidi hela unabwabwaja. Kama we mwanaume mtokee kweli bila kujali nini kitatokea. Ila we mwenyewe unajua una mapungufu (huna hela mzee baba) ndo maana unaweweseka. Pia achana na wanawake watakumalizia nguvu zako bure. Tafuta hela. Oa mke wako tulia.Wakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa, siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi.kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela
kwa nini vibarua ndiyo huwa wanakuwa na roho hizi za juu juu makazini?Wakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa, siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi.kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela
kama umekuta vidume wengine hapo kazini,jenga urafiki nao na anzia huko utapata taarifa zake zote na jinsi alivyo,kwa ulivyomzungumzia wewe hutakuwa wa kwanza kumuelewa kwa hapo kazini. Boss wangu mmoja juzi nimemla kimasihara sana na nimehamia branch nyingine nikamkuta huko na vijana wenzangu kwenye story za hapa na pale muda wa lunch nikachomeka wakatoa formula za kuweza kumla mimi nikaboresha.Wakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa, siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi.kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela