Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,098
- 8,205
Huo ufundi wako mpelekee Mkeo.
Labda bado hujamla mama mchungaji, ni watamu halafu wanajua sana kujificha......kabla ya kufanya naye uzinzi anashusha kwanza maombi halafu wakati unamchakata anaweka muziki wa dini ,we acha tuUsichezee kazi, katika vitu hutakiwi kufanya mzaha navyo ni kile kinachokupa kula yako.
Mbona wanawake wamejaa sana mkuu, tena siku hizi unatumia nguvu ndogo mno kuwapata.
Usijihusishe na ngono maeneo yafuatayo;
1. Kazini
2. Jirani na nyumbani au mtaani kwako.
3. Kanisani/msikitini.
4. ...
Hauna hela hizo hisia za mapenzi unatoa wapiWakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa.
Siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.
Wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela
Kumbe haujakua kwa mawazo haya Mungu akusaidie sanaLabda bado hujamla mama mchungaji, ni watamu halafu wanajua sana kujificha......kabla ya kufanya naye uzinzi anashusha kwanza maombi halafu wakati unamchakata anaweka muziki wa dini ,we acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni watu wabaya syna🤣🤣🤣🤣Akili huna ,,naona hata kuandika hujui, zoba kama zoba wengine tuu.,![]()
Mungu anasaidia wote wewe uliyekua na mimi ambaye kwa mtazamo wako sijakua.Kumbe haujakua kwa mawazo haya Mungu akusaidie sana
Wacha uoga dogoWakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa.
Siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.
Wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela
Acha roho mbaya....Najua unataka kulelewa ila utalia soon....vyote utakosa hapo.Pia muwe na huruma na ndoa za watu....unadhani huo uzuri ndo unamwona wewe tu...ana wake huyo embu mwache usimshawishi....aache kulea familia aanze kukufuata fuata wewe,kukuwaza wewe...aanze kumchukia mume wake au mpenz wake....eti nayajua mapenz....kujua kwio!!!
achana na wanawake watakumalizia nguvu zako za kiume, za kimwili, za kifedha na kiroho. In short watakunyonya ubaki kama mfupa wa panya. Cha msingi KUBALI MAPUNGUFU YAKO, RAHISISHA MAHITAJI YAKO, ONGEZA KIPATO CHAKO NA UCHUNGE TAMAA MBAYA!!!!!Daah
Ha haa,sawaAcha roho mbaya....
Wee,wacha weUwoga wako ndiyo umasikini wako... Ngoja waje kukupa muongozo...
Ndo maana huna hela. kichwani zeroWakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa.