Namtafutia rafiki msichana bikra

Haya
 
mimi nilipata bikra nilianzisha shamba mwenyewe kama hukupata kajinyonge UNAJISIFIA UNA MKE HUKU KESHALIWA KITAMBO dushe zishapita zaidi ya kumi
jamaa una pumba sana,kwaio bikra kwako ndio ufahari?
dah aibu sana kujua humu kuna watu wana ufinyu wa fikra kiasi hiki...
 
jamaa una pumba sana,kwaio bikra kwako ndio ufahari?
dah aibu sana kujua humu kuna watu wana ufinyu wa fikra kiasi hiki...

Hivi bado unauita ufinyu mkuu umeisikiliza hiyo clip hapo? kama bikra ni ufinyu je wewe huyo asiye na bikra unajua sio wako? kama unajua sio wako kwanini upo nae? una agano nae huyo mpaka uamue kuishi nae? kutokana na yote haya ndio maana akikusimulia naenda nyumbani na unajua alie mtoa yupo huko lazima uwaze hebu bisha?

yule ndie mume maana kashafungwa nae
 
pole sana,sijajua umri wako,but laiti ningeujua ningejua pia cha kukwambia,but kwa sasa naamini bado haujawajua wanawake,ila siku yako ipo mkuu!
 
pole sana,sijajua umri wako,but laiti ningeujua ningejua pia cha kukwambia,but kwa sasa naamini bado haujawajua wanawake,ila siku yako ipo mkuu!
Nina miaka 34 ni umri mkubwa nimekusaidia kwa kukuwekea biblia inasemaje kuhusu bikra lakini umeifanya akili yako iwe ngumu kuamini ukweli
naamini hata nikikuuliza maswali utakosa majibu hayo mepesi umeshindwa sikiliza hiyo video kwenye dhread hii ndipo urudi MAANA HUJUI BIKRA NI NINI



KIUFUFUPI

BIKRA NI KUTOKUGUSWA


KAMA MWANAMKE NI YULE ASIYE GUSWA NA MWANAUME YEYOTE chekecha akili yako kwanini bikra iwepo?
 
mimi nilipata bikra nilianzisha shamba mwenyewe kama hukupata kajinyonge UNAJISIFIA UNA MKE HUKU KESHALIWA KITAMBO dushe zishapita zaidi ya kumi
HV unajua kuna bikra za kichina hata kama umezaa watoto 5inaeza kurudi na kua kama ya mtoto mchanga, hivyo usije kua umeuziwa mbuzi guniani
 
???????????
kama umetikisika hivi,what is a bible anyway,acha utumwa wa ki`fikra,be really,live your life mkuu!
 
Msamehe bure
 
Hakuondoka nayo...[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bikra aliondoka nayoa Maria siku hizi mtoto anazaliwa anajuwa aina za matango yote yaliyopinda na manene yote anakula kidogo anayeigiziwa Bikra Mfalme Mswati japo anayeisifia mvua imemnyea lakini si wewe umekuta ngoma taiti kwa kuwekewa mgagani unasema Bikra au pengine mkeo ni chiba wa uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…