Kwa maelezo haya yaonyesha huna nguvu yoyote wewe ya kumridhisha mwanamke ndo maana ukakimbilia kwa huyo mnyonge subiri ndoa ikikumbwa na gharika ndo utawajua wanywa supu ya pweza kama wanajitapa hiv as if hawana akili nzurWewe naamini haupo katika ndoa ungekuwa kwenye ndoa ungejua thamani ya kupata mke bikra unamuanzisha mwenyewe
huyo kuchepuka kwake ujue wewe mwanaume ndo chanzo TAFUTENI BIKRA NA MKIZIPATA MSIZIHARIBU bila hivyo supu ya pweza inakuhusu
rafiki yangu apate raha ya ndoa sio kuoa mke asiye wake katinduliwa zamaniiiiiiiiiiiiiiii
utazijua ukikua bado mtoto kalaleKhaaah bikra ndo nin
Kwa maelezo haya yaonyesha huna nguvu yoyote wewe ya kumridhisha mwanamke ndo maana ukakimbilia kwa huyo mnyonge subiri ndoa ikikumbwa na gharika ndo utawajua wanywa supu ya pweza kama wanajitapa hiv as if hawana akili nzur
Kukushauri wewe ni kupoteza muda maana una mipasho kama mwanamke at first nilivyosoma nilihisi shogangu ana mtafutia kaka yake mke kumbe we ni dume!alafu hayo mawazo ya bikra umeya implant kwa rafiki yako means ulimsimulia kuwa mkeo alikua ni bikra! Jihadhari sana na uache tabia ya kutoa siri za ndani kwa rafiki zakoutazijua ukikua bado mtoto kalale
Kwa nguvu zangu ndio maana sipangi foleni kusubiria supu ya pweza kama wewe ukikosa tu siku hiyo huendi nyumbani kisa utashtukiwa
sipatii picha umeikosa mtaa mzima ndio maana mnafia vifuani mwa wanawake mnatumia nguvu nyingi sana kuanzia kiakili mpaka za mwili kuyaendesha malori yenu
mwanamke kaanza miaka kumi uje umtulize akiwa na miaka 25 MTATESEKA vijana vimatako vimekondeana yote mnasukuma malori tani saba
Nakuona zuzu ndo maana na akili mgandoutazijua ukikua bado mtoto kalale
Kwa nguvu zangu ndio maana sipangi foleni kusubiria supu ya pweza kama wewe ukikosa tu siku hiyo huendi nyumbani kisa utashtukiwa
sipatii picha umeikosa mtaa mzima ndio maana mnafia vifuani mwa wanawake mnatumia nguvu nyingi sana kuanzia kiakili mpaka za mwili kuyaendesha malori yenu
mwanamke kaanza miaka kumi uje umtulize akiwa na miaka 25 MTATESEKA vijana vimatako vimekondeana yote mnasukuma malori tani saba
Hebu angalia video hapo kwenye dhread then urudi kuongea chochote UKWELI HUWA HAUPINGIKI MKUUNakuona zuzu ndo maana na akili mgando
Mimi nadhani wewe ndo napoteza muda maana hujui thamani ya mwili Wewe fikra yako unadhani kumtuliza mwanamke ni ngono sio hivyo na wanao fanya uhuni nje ya ndoa usidhanie hawaridhishwi bali hawajui thamani ya miili yao HUO NDIO UKWELIKukushauri wewe ni kupoteza muda maana una mipasho kama mwanamke at first nilivyosoma nilihisi shogangu ana mtafutia kaka yake mke kumbe we ni dume!alafu hayo mawazo ya bikra umeya implant kwa rafiki yako means ulimsimulia kuwa mkeo alikua ni bikra! Jihadhari sana na uache tabia ya kutoa siri za ndani kwa rafiki zako
Wewe mwenyewe BIKRA?Nafuatilia jukwaa hili kila anayetafuta kaenda age wengi ni zaidi ya miaka 25 wengine wanaenda mbali zaidi wana watoto, please bikra jitokezeni nanyi kutafuta hasa chini ya miaka 25 nyinyi wabichi.
Namtafutia rafiki yangu jamani baada ya mimi kuipata na kufurahia maisha ya ndoa
NILIPOSHUHUDIA HILI FURAHA ILIZIDI NAMPENDA MKE WANGU ALIYE NA VIGEZO RAFIKI YANGU AFURAHIE PIA
ANGALIA HIYO CLIP NAPENDA UJE USEME KITUKhaaah bikra ndo nin
We hujielewi unachoongea [emoji23] [emoji23] pole Bro! Hakika jf ina vichaa wa kila ainaMimi nadhani wewe ndo napoteza muda maana hujui thamani ya mwili Wewe fikra yako unadhani kumtuliza mwanamke ni ngono sio hivyo na wanao fanya uhuni nje ya ndoa usidhanie hawaridhishwi bali hawajui thamani ya miili yao HUO NDIO UKWELI
na ni vibaya kuona mwenzio anaangamia mshirikishe lililo zuri ili nae akombolewe KUKOMBOKA KATIKA NDOA MPATE BIKRA HUYO NDO ATAKUFAA
NA WASHAURI WATOTO WAJITUNZE
ZAIDI ANGALIA HIYO CLIP PALE JUU
Umesoma chote nilikiandika? pia umesikiliza hiyo clip au simu yako mchina feki fetching kwa sanaWewe mwenyewe BIKRA?
Mimi ni mpole mkuu umesikiliza hiyo clip na kuijua thamani ya bikra? je huyo aliyekuchambulia nae ni kichaa kama mimi au wewe usiye jua thamani ya bikra?We hujielewi unachoongea [emoji23] [emoji23] pole Bro! Hakika jf ina vichaa wa kila aina
Hata kama umeenda wewe utafunga agano na huyu rafiki yangu unafaa kuwa mke wake lakini vigezo hujakidhi pole kwa hiloMimi niko bikira kbs sema umri umeenda
Nikutafutie wapi zilipo muombe Mungu humu pia wapo waombe wajitkeze kwakoNitaftie na me
Mi nimekuuliza swali jibu... wewe mwenyewe je?Umesoma chote nilikiandika? pia umesikiliza hiyo clip au simu yako mchina feki fetching kwa sana
njoo usikilize hii clip then ujue kwanini bikra muhimukupata si ujanja,,,,kuna kugongewa pia,,,atakuliza tuuu,,,Omba awe mwaminifu!!
Tusibishane mkuu upo kueleweshwa kama ulikuwa hujui kama unajua basi tambua kuanzia sasa umuhimu wa bikraMi nimekuuliza swali jibu... wewe mwenyewe je?