Sasa nikisema hapa si ataona na wewe mtu mwenyewe ana masikio kama popo na macho kama bundi...Nambie why basi maana naona fumbo hilo sijaelewa
Sasa nikisema hapa si ataona na wewe mtu mwenyewe ana masikio kama popo na macho kama bundi...
Naumwa kukumiss dear...salam zao
Naona mnajichanganya wenyewe sasa!!eenheee mimi49.....u have the reason now?