Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,359
- 111,650
Ha ha ha halafu wewe mi nimekwambia msambaa mbona mbishi kama ngiri....
Hivi 'ngiri' ndio kipimo cha ubishi eenh!!! haya Shemimi49 ​nimekuelewa...
Ha ha ha halafu wewe mi nimekwambia msambaa mbona mbishi kama ngiri....
Shemimi49 ndio nani?Hivi 'ngiri' ndio kipimo cha ubishi eenh!!! haya Shemimi49 ​nimekuelewa...
Shemimi49 ndio nani?
Kwani ulikuwa hujui hilo na we mwingi wa mambo!Hivi 'ngiri' ndio kipimo cha ubishi eenh!!! haya Shemimi49 ​nimekuelewa...
Mpwa huyu mimi49 ni wale Wadigo wa Lamu na Mombasa, huwa wanaijiita Wagunya.
Mpwa ukitaka tafuta binti mrembo mrembo hebu usisite kutupia macho kwenye hii kabila...teh teh
Halafu na yale mambo yetu yale...wanayajua sana hawa...
Kwanini??Hivi ushawahiwa au kuolewa?
Kwanini??
sijaolewa...Lakini sipo available....Napenda kujua nisije kuvutiwa na maandishi ya mke wa mtu
sijaolewa....
Hahhah hapo kwenye urembo pana ukweli hahhahahahaha
Salaleh!!Tena usiombe ukutane na wale shombe shombe mmmhh!! unaweza kuuza shamba la urithi
Salaleh!!
Kwani uzuri wa mwanamke ni maumbile?si ndio neema za Allah hizo rafiki....hatari sana!!
Kwani uzuri wa mwanamke ni maumbile?
si ndio neema za Allah hizo rafiki....hatari sana!!
Hahahaha watu8 unaonaje ukawa mtabiri lol maaana.. .....